Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,179 Reaction score 34,437 Oct 5, 2018 #281 Don Clericuzio said: Naomba nijizuie kuchangia kwenye hii thread... Click to expand... Ole wako. Lol
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,179 Reaction score 34,437 Oct 5, 2018 #282 Acha nipitege kimya kimya. 😀😀😀😀
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,336 Reaction score 5,319 Oct 5, 2018 #283 Kitu cha orkokolaa chuga ni kikalii waku ukipiga resi mbili uko high!
PACHO HERRERA JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 460 Reaction score 529 Oct 5, 2018 #284 Umetumwa na wizara uje utukamate?? Hutupati ng'ooo
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,174 Oct 5, 2018 #285 ninyi ni watu wapumbavu duniani
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,806 Oct 5, 2018 #286 mr qns said: og Click to expand... Kitu cha kutoka nchi ya mfalme mswati hicho.
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,806 Oct 5, 2018 #287 Don Clericuzio said: Naomba nijizuie kuchangia kwenye hii thread... Click to expand... Karucee said: Acha nipitege kimya kimya. 😀😀😀😀 Click to expand... Acheni uoga wakuu, jiachieni.maisha ndo hayahaya,msikubali babylon system iwafanye muwe wanyonge.
Don Clericuzio said: Naomba nijizuie kuchangia kwenye hii thread... Click to expand... Karucee said: Acha nipitege kimya kimya. 😀😀😀😀 Click to expand... Acheni uoga wakuu, jiachieni.maisha ndo hayahaya,msikubali babylon system iwafanye muwe wanyonge.
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,806 Oct 5, 2018 #288 Metakelfin said: ninyi ni watu wapumbavu duniani Click to expand... Na wewe ni mtu mwerevu sana,unayetukana watu usiowajua kwa sababu zisizokuwa na msingi,ila kwa sababu sie ni watu wa amani na upendo hatuna haja ya kukujibu vibaya,tukafanana na wewe.
Metakelfin said: ninyi ni watu wapumbavu duniani Click to expand... Na wewe ni mtu mwerevu sana,unayetukana watu usiowajua kwa sababu zisizokuwa na msingi,ila kwa sababu sie ni watu wa amani na upendo hatuna haja ya kukujibu vibaya,tukafanana na wewe.
ywf JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 795 Reaction score 927 Oct 5, 2018 #289 machiaveli said: Kitu cha orkokolaa chuga ni kikalii waku ukipiga resi mbili uko high! Click to expand... orkokolaa ipo pande kwa hapa chuga mkuu....
machiaveli said: Kitu cha orkokolaa chuga ni kikalii waku ukipiga resi mbili uko high! Click to expand... orkokolaa ipo pande kwa hapa chuga mkuu....
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,336 Reaction score 5,319 Oct 5, 2018 #290 ywf said: orkokolaa ipo pande kwa hapa chuga mkuu.... Click to expand... Yah man nilikionja resi kazaa nikakikubali arif kitu ni vichwa tupu moshi mwepesi kikali kinyama man
ywf said: orkokolaa ipo pande kwa hapa chuga mkuu.... Click to expand... Yah man nilikionja resi kazaa nikakikubali arif kitu ni vichwa tupu moshi mwepesi kikali kinyama man
Yamakagashi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 8,613 Reaction score 17,638 Oct 5, 2018 #291 Puff puff pass .....
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,717 Reaction score 57,244 Oct 5, 2018 #292 Metakelfin said: ninyi ni watu wapumbavu duniani Click to expand... Mpumbavu mwenyewe
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,717 Reaction score 57,244 Oct 5, 2018 #293 Lego
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,336 Reaction score 5,319 Oct 5, 2018 #294 Huu Uzi ni wa wavuta shada we kama hautumii pita hivi kiroho chafu!! Usikomenti hapa kama hauusiki na hili chama kwasababu tutarushiana!
Huu Uzi ni wa wavuta shada we kama hautumii pita hivi kiroho chafu!! Usikomenti hapa kama hauusiki na hili chama kwasababu tutarushiana!
ywf JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 795 Reaction score 927 Oct 5, 2018 #295 machiaveli said: Yah man nilikionja resi kazaa nikakikubali arif kitu ni vichwa tupu moshi mwepesi kikali kinyama man Click to expand... naomba unielekeze nitakipata wapi mkuu...nipo chuga
machiaveli said: Yah man nilikionja resi kazaa nikakikubali arif kitu ni vichwa tupu moshi mwepesi kikali kinyama man Click to expand... naomba unielekeze nitakipata wapi mkuu...nipo chuga
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,336 Reaction score 5,319 Oct 5, 2018 #296 ywf said: naomba unielekeze nitakipata wapi mkuu...nipo chuga Click to expand... njoo pm
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,806 Dec 2, 2018 #298 #kazinabata
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,806 Jan 31, 2019 #299 Uzi umepoa sana huu,mzigo huo wazee , umelimwa hapahapa Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,806 Jan 31, 2019 #300 Mwanachama aliyepo uholanzi hususan amsterdam tuchekiane aisee, nahitaji mbegu za highgrade,top shelf stuff Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanachama aliyepo uholanzi hususan amsterdam tuchekiane aisee, nahitaji mbegu za highgrade,top shelf stuff Sent using Jamii Forums mobile app