Wavulana mna matatizo gani??


Siku hizi kombolela haipo na kama ipo visichana vinawika sana huko!
 
Wanaume wakiwageukia ndio mnaanza kusumbua media "Ohh haki sawa kwa wote, ohh mwanamke ana haki ya kuongea" ndio matokeo yake haya, mmepewa haki ya kuongea sasa mnakataa wanaume, mnataka wawe kama wawe mnaowaona kwenye tv afu sasa mnasema tatizo liko kwa wanaume, NO, tatizo liko pande zote mbili, nijibu hili, Mwanaume akija kwa binti, akamtongoza binti afu binti akagoma, unategemea huyo mwanaume afanye nini?
Tatizo ni kwa jinsia zote mbili nowadays, globalization, internet na TV ndio chanzo kikubwa, like t or not watu walipinga sana tabia za wanaume wa kikurya kumpiga mwanamke hata kama mwanamke kakosea, wanataka mwanaume akae chini na kueleweshana na mwanamke, jua wanawake wengine hawaelewi, mtu hela aliyolipa inamuuma anatandika....
The world is changing, kama mnaona tabia za zamani ni bora kuliko za sasa then do somethin abt t kuzirudisha ila ni kwa boys n girls hakuna exception hata girls wa zamani walikua na heshima kuliko wa sasa unless mnataka wanaume wavunje sheria wawanyoshe wawe na uoga kama zamani...
 
Yaani ka kijana kanakutongoza halafu kanaangalia chini
Utakavulia kweli?

hahahaaaa hii hatari sana lakin ni matatizo tu ya hisia yanasumbua sio kingne tuwasamehe bure
 
Jeshi lilisaidia sana...kufutwa kwa jeshi ndiyo matunda haya...vijana legelege...hata akili imekaa Kilegelege

Wazazi tuendeleze baadhi ya mila na desturi kama jando na unyago..mafundisho ya uko yalisaidia sana kujitambua..

Wazazi tujitahidi kuwa wazazi bora na si bora mzazi...mana siku kisingizio ubusy watoto wanalelewa na dada wa kazi...
 
Ukitoka kwenye uvulana unaingia kwenye ujana kisha kwenye uanaume
Wewe huwezi kuingia kwenye uanaume kabla ya kuingia kwenye ujana!

kwa hiyo kijana ni mvulana au mwanaume?
 
Leo umekuwa mkali baba Paroko! Kweli wavulana wamekuudhi.
Bandiko lako likalete mabadiliko hasa katika malezi,tunapokosea wazazi turekebishe ili mwisho wa siku watoto wetu wa kiume wakawe wavulana na hatimaye wanaume!
 
mmmhh! uzi huu umenifanya nihisi kuwa siku siku hizi kuna vivulana vya kike na kuna visichana vya kiume.....teh! teh! teh. a stick and 2 balls hanging btn the legs do not make a person a man but his actions and decisions.
 

Mkuu Dublin, umegonga shule ya hatareeee. Full respect.
 
Last edited by a moderator:
Leo umekuwa mkali baba Paroko! Kweli wavulana wamekuudhi.
Bandiko lako likalete mabadiliko hasa katika malezi,tunapokosea wazazi turekebishe ili mwisho wa siku watoto wetu wa kiume wakawe wavulana na hatimaye wanaume!

Yaani hivi vitoto vimeniudhi sana
We acha tu!!
 
Wacheze kombolela na playstations wamuachie nani?

Haya bana

Lakini sisi tulikuwa tunalima na kuchunga ng'ombe
Mambo yaliyokuwa yanatuhamasisha sana kuujua utamabora [sio utamaduni] wetu

Sisemi hizo sijui plei stesheni ni mbaya ila wazazi wafikirie sana kuhusu hili!!!!
 

Siku hizi huwezi hata kujua tofauti ya adhabu kati ya adhabu ya mtoto wa kike na ya mtoto wa kiume!
 
hahahaaaa hii hatari sana lakin ni matatizo tu ya hisia yanasumbua sio kingne tuwasamehe bure

Manka maamka!!!!

Hakuna cha kuwasamehe hapa hadi kieleweke
Hatuwezi kuwaacha mkiwa viongozi kwenye majukumu ya kiume!!!!!!!
 

Mwanamke anastahili haki
Lakini haki za kibazazi kama hizo za kumtawala mume hazikubaliki,hapa ni Africa for Gods sake!
 
Yaani hivi vitoto vimeniudhi sana
We acha tu!!

Kuna mwingine kajiua huko kisa mpenzi amefanya shopping ya X-mass for 5hrs na hana mpango wa kumaliza!
Wanaume wana mauza uza!!
 
Mwanamke anastahili haki
Lakini haki za kibazazi kama hizo za kumtawala mume hazikubaliki,hapa ni Africa for Gods sake!

Kwani mwanaume asitawaliwe yeye nani? Hao wa zamani mnaowasifu walikuwa vichwa kweli,walifahamu majukumu yao na kuyatekeleza. Nowadays kuna wanaume hata ugali wanaokula wanae hajui unatoka wapi kisa mkewe ana kazi.
Kama u Africa ni kumkandamiza mwanamke basi wengine tutahama bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…