Wauzaji wa vitabu mtandaoni (E-Boom salesman)

Wauzaji wa vitabu mtandaoni (E-Boom salesman)

graythong

New Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
1
Reaction score
2
Kutana na wauzaji waliobobea katika soko la vitabu Tanzania, tunauza softcopy za vitabu aina zote kama marketing, insurance, accounts, logistics and procurements, medicine, phamarcy, entrepreneurs, finance and banking. Kitabu aina yoyote toka kwa mwandishi yeyoto yule unayemfahamu.. pata ofa na punguzo maalum kwa kuwa mteja wa kwanza kila siku.. malipo hufanyika kwa njia mpesa na tigo pesa, ezymoney.
 
Weka website portal yenu mnayouzia hivyo vitabu
Bara bara kabisa. wauzaji wengi wa vitabu kama hivi huweka website, mnunuaji anaangalia matoleo yaliyopo, na pia ana search toleo analotaka
 
Kitabu cha Elvis Musiba ( Willy Gamba )mfano hukumu ya haki ,kikosi cha kisasi nk mnavyo?
 
ndio vpo vya aina nyingi, tupo ktk mchakato wa kufungua website na kuviweka vitabu aina zote. kwa sasa ukihitaji tuma jina la kitabu na edition ukiweza na mwandishi, utakipata. thanx.
 
ndio vpo vya aina nyingi, tupo ktk mchakato wa kufungua website na kuviweka vitabu aina zote. kwa sasa ukihitaji tuma jina la kitabu na edition ukiweza na mwandishi, utakipata. thanx.
 
Pirated copies siyo vizuri kuuza wakuu, ni udhurumati wa hali ya juu. Watu wanagawa bure we unauza!!!
 
tunapatikana dar es salaam.. kitabu kitakufikia kwa njia rahisi ya e-ms au kitatumwa km parcels ktk basi inayofika mahali ulipo
Ungetoa address zenu zote sio nusunusu
-Office iko sehemu gani
-Namba yenu ya simu
 
Kutana na wauzaji waliobobea katika soko la vitabu Tanzania, tunauza softcopy za vitabu aina zote kama marketing, insurance, accounts, logistics and procurements, medicine, phamarcy, entrepreneurs, finance and banking. Kitabu aina yoyote toka kwa mwandishi yeyoto yule unayemfahamu.. pata ofa na punguzo maalum kwa kuwa mteja wa kwanza kila siku.. malipo hufanyika kwa njia mpesa na tigo pesa, ezymoney.[/QU
Naomba tuwasiliane mimi ni mtunzi wa vitabu nimeipenda idea yako 0784394701
 
Back
Top Bottom