promethus
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 1,050
- 1,665
UnaiuzajeHaina shida yoyote kiukweli mm mwenyewe naumia but no way out nmepigika balaaa, lbd imekosa chaja yake tu, but in all conditions ni nzur balaa. Ina miez miwil kwenye matumiz mkuu, chaja yake nilisahau kwenye gar ko ikapotea