Wauza smartphone tukutane hapa

Hivi techno toleo jipya lipo na shingapi
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air, mpk unamaliza kuweka dp/status tayar isiakua old model
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Hahahah dah jamaa nimecheka sana boss ni kweli asee mpaka unamaliza install whatsapp kuna matoleo kama 10 hivi yamefyatuliwa.
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
hahaaaa,mkuu wewee, eti kila saa ,i can imagine baada ya siku 2 tu kuna matoleo mapya kibao :D:D
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Daahhhhhh tecno ni kansa
 
Mkuu na likoma Tecno spark k7 inasimama ngapi mkuu acha haya maduka ya nje nje kama kuna chimbo unalifahamu wanapondaga kuchukua wale machinga au ma winger.Ahsanteh
 
Pata original smartphones

Samsung note 8
Brand new
64gb
Price1,300,000 TZS

Samsung s8 plus
Brand new
64gb
Price:-1,050,000 TZS

IPhone 6
Brand new
16gb
Price:-500,000 TZS
64gb
Price:-580,000 TZS

Location:-dar es salaam , kkoo
Phone:-0714750433
 
Attachments

  • Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    62.8 KB · Views: 45
  • Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    58.2 KB · Views: 41
  • Photo 30-10-2018, 15 30 46.jpg
    Photo 30-10-2018, 15 30 46.jpg
    11.8 KB · Views: 42
Samsung note 8
Brand new
64gb
Price:-1,300,000 TZS
CALL:-0714750433
LOC:-DAR-KKOO
 
Attachments

  • Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    62.8 KB · Views: 43
IPhone 6 plus
Brand new
64gb
Price:-700,000 TZS

CALL:-0714750433
LOC:-DAR-KKOO
 
Attachments

  • Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    58.2 KB · Views: 45
INAUZWA
meizu mx4 pro
Ram 3gb
Storage 32
Camera 20mp led flash
Selfie 5mp
Fingerprint scaner

Bei 350000/-
images.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom