Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Kaka angu unajuaga tu kunivunja mbavu Dada ako
 
Kaka angu unajuaga tu kunivunja mbavu Dada ako
hahaaa humu mimi nipo kwa ajili ya kuinjoy na kujifunza tu, ndo maana majukwaa ya kutiana stress kama la siasa siwez ingia, Halaf umepotea kweli nani kakuteka?
 
5.7 inch screen
internal 16Gb
13MP
4G lte
Ram 2Gb
bei Tshs 250k

Serious buyer inbox me......
Niko Dar
NB: No Exchange deals
Photos by Nokia 3310

#tecno #camon #cm #CA6 #4G #lte #android #going #cheap
Photo0018.jpeg
Photo0016.jpeg
 
Tecno K9 For Sale

Bhado Mpya
200k/Haipungui
Contact -0738598757
Location - Sinza


Status = Already Sold!
 
IMG_0292.JPG
IMG_0295.JPG

Tecno c9
Inahitajika 170k
Location tabata kinyerezi
Nicheck 0763976109
 
Iphone 5s
Storage 16GB
Price 250k
Location Tabata segerea
Check me +255763976109
73e62bf5-7313-4e5c-8a42-300938f298a0.jpg
9eaadb04-7379-400d-9fa1-2e621bf63f40.jpg
c732bee4-e1f6-4a22-bfe3-3698d2e22d58.jpg
 
Back
Top Bottom