Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung nzuri in a good condition inahitajika kwa 350K
SamsungA5
IMG-20170616-WA0039.jpg
IMG-20170616-WA0040.jpg
 
Wadau niko na Samsung Galaxy S7 ya silver nauza bei sawa na bure kabsa,
simu ni nzima na nimekaa nayo for miezi mi 4 tu, reason nauza ni kwa sababu samsung wametoa samasung galaxy s8 ni kawaida yangu kuuza ya zamani kununua mpya, ni mpya na mnunuaji ataipenda maana mie ni mtunzaji wa simu.

serious buyers wanione inbox tuongee biashara!
Sh ngapi
 
Nauza Samsung Galaxy S6 Edge Gold
32 GB
Bei ni 700000
Mazungumzo yapo
Simu with charger
Nipo DSM
Kwa atakaye hitaji aje PM
 

Attachments

  • IMG-20170617-WA0019.jpg
    IMG-20170617-WA0019.jpg
    58.5 KB · Views: 61
  • IMG-20170617-WA0018.jpg
    IMG-20170617-WA0018.jpg
    81.4 KB · Views: 56
  • IMG-20170617-WA0019.jpg
    IMG-20170617-WA0019.jpg
    58.5 KB · Views: 56
  • IMG-20170617-WA0018.jpg
    IMG-20170617-WA0018.jpg
    81.4 KB · Views: 55
Htc one m7 naitoa iko katika har nzuri sema kava dogo la juu limechomoka kalidondoka kakufunika speaker bei maelewano anaehitaj ntafte in 0755161970 only for whatsapp picha utatumiwa na bei pia tutaelewana huko location yangu tukuyu,mbeya

Also tecno w4 ipo mzigoni njoo tuzngumze
 
Nina Samsung S5 yangu shida ni kioo hv kioo ni sh ngapi? au wapi naweza uza hiyo mashine bila hicho kioo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom