Love Doctor
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 734
- 788
- Thread starter
- #41
Uko wapiUsafiri shingap
Uko wapiUsafiri shingap
Unauzaje magugu hapoHata magugu upo ila bei ni kubwa tuwasliane kama mahitaji yapo..na mchele wa magugu sifa yake simnaijua lakini?
2300 Super maguguUnauzaje magugu hapo
Jumla ?2300 Super magugu
Unauzaje mkuu jumlaNina Tani 16 nipo Arusha ..leta ela inayoeleweka nikupe mchele
Jumla ndio 2300 super maguguJumla ?
Miundombinu ya usafir ni supportive au ndio gharama juu zizid hata hiyo 2400?Njoeni mbingu morogoro mchele supa umesimama 1900 Hadi 2000
Shida ni usafiri ila Kuna tren kama biashara Yako ipo dar na magari yapo sema ukiwa na mzigo mkubwa kama una vigunia utakesha.Miundombinu ya usafir ni supportive au ndio gharama juu zizid hata hiyo 2400?
2100 nije mkuuJumla ndio 2300 super magugu
Elf 2000 superMbingu bei shingap
Mbigu ndio wapi?Mwenye mtaji anapiga hela na mchele
Mbigu ndio ukichukua huko ukaleta hapa unapiga hela kwa mwenye mtaji stoo ipo ya kuweka mali
Hiyo mbingu ipo mkoa gan