Love Doctor
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 726
- 786
- Thread starter
- #21
Tani kuanzia 5Mtaji mkubwa una manisha kama sh ngapi?
Tani kuanzia 5Mtaji mkubwa una manisha kama sh ngapi?
Uko maeneo gani ?Nipe konekisheni ya location inayoweza kusukuma angalau kilo 500 kwa siku.
Mbingu ipo wapi?Kama upo tayari njoo mbingu mchele ni chini sana super 1700,1800,1900
Kweli?Nenda Tabora mchele Bei rahisi kilo 900-1300
Kila week nipate 1 ya uhakikaUnahitaji Tani ngapi?
Eeh mkuuKweli?
Kwani sasa hivi una mzigo wa kiasi gani ?Tani kuanzia 5
Tani 1Kwani sasa hivi una mzigo wa kiasi gani ?
Mtaji kukusanya mzigo wa maana angalao kiasi gani mkuuMtaji hautoshi kwenda kukusanya mzigo huko
Tani 5Mtaji kukusanya mzigo wa maana angalao kiasi gani mkuu
Chief naona tulianza mazungumzo pm lakini hujajibu meseji zangu za mwishoMchele umekuwa adimu huku
Vip kutoka MbeyaTuna uhitaji mkubwa kwa sasa
0718569091Weka namba
Ukileta mzigo unauzaVip kutoka Mbeya
NimekutumiaChief naona tulianza mazungumzo pm lakini hujajibu meseji zangu za mwisho