Hivi na Ray C amekamatwa?
Kulikoni mkuu,mbona unavijua sana vijiwe vya madada poa?bila kusahau kule jangwani, lumumba, gongolamboto majoe, mbagala rangitatu kwa masakuu, kigamboni mjimwema, cocobeach!!
Nazani Father of All atakuwa na ushadi wa kutosha!mmmh nae anauza mapenzi?
Wawaache bana. Kwani kuna ubaya gani mtu akiamua kuuza penzi lake?
Brasil biashara ya penzi ni ajira tena yenye mafao kabisa kama ajira zingine.
Muda umefika watawala waache kuwasumbua hao watu na badala yake wawasaidie kuihalalisha.
Precisely mkuu!Atakuwa mteja mhimu huyo
Mh!...kazi kwelikweli, Mkuu ila mimi naona hao wanauza Ngono/zinaa na sio penzi........Maana tukiangalia uhalisia wa penzi, huwa penzi haliuzwi, huwa lipo tu lina exist baina ya watu wawili wanaopendana na pia Penzi sio tendo la ndoa tu bali lina include mambo mengi sana muhimu baina ya watu wawili wanaopendana.......kwenye biashara hizi tukitumia neno penzi tutakuwa tunachakachua maana ya penzi kwakweli.