Wauza mafuta: Wameshinikizwa na CHADEMA?

ni ujinga kuangalia join date za watu! Inamaana hautaki jamii forum ipate member wengi? Hoja yake ipo pouwah sema wewe inakukera tu.
Mkuu hapa umenena maana watu wengine inaonekana wanataka kuona watu walele wakileta hoja zao humu... Mimi ningekuwa Jk naomba substution tu maana sio lazima amalze miaka yote 5 atakufa huyu mzee nchi imemshinda..

kaka swali zuri sana hilo! Yawezekana pia CHADEMA iliwashinikiza wabunge wakatae bajeti ya Ngereja...tehetehe!

<br /
ndo ukweli wenyewe .lakini wamesahau kuwa uchanguzi hakuwa huru .Rais anashindwa kumkemea mtu kisa wanamwambia ulichakachua

Mnajua nini?

Mimi ninaside na hawa wafanyabiashara

In short Tanzania ni nchi ambayo ngumu sana kufanya biashara na sishangai sana kuhusu hizi charges na rushwa iliyokithiri

serikali inasema meli zinakaa siku 5 kule baharini...ukweli ni kuwa meli zinakaa mpaka siku 50 kule nje baharini kwenye foleni sasa hilo huhitaji kujua kuwa kuna incompetency sehemu na sishangai kuskia TRA na EWURA wana husika

Sasa huyu kaleta hoja na vielelezo na kasema kama kuna mtu anahitaji zaidi amtumie e-mail.

sisi tumezidi:

rushwa

urasimu

mazingira magumu kufanya biashara

Kodi zisizoeleweka kila kona badala ya kodi moja na ambayo inaeleza inafanya nini

local authorities kujaa staff ambao pia ni wala rushwa na wahuni

sasa tusitake kukaa hapa na na kutaka kuitakasa sana serikali na departments zake ili hali ukweli tunaujua lakini hatutaki kuuweka wazi. Naungana na wenye vituo hivi na nashauri its about time they come back and fight hizi slander wanaztumiwa kwa kuweka wazi jinsi wanavyonyonywa watu kama TRA,TBS,EWURA, LOCAL AUTHORITIES na kadhalika.

sitaki kuanzisha thread nyingine kwani siku hizi naona kabla hujaanzisha thread inabidi ipitie kwa GESTAPO wa JF kabla hajatundikwa so tutaendelea humu humu kuelezana

Lakini baada ya catalogs za uwongo toka serikalini mimi nikiambiwa nani nimwamini between serikali na wafanyabiashara hawa then nadhani mnajua nitakuwa upande upi

tafuta hoja nyingine sio kila thread we unatundika tu hili bandiko lako bila hata kuzingatia kinachojadiliwa hapa.

mkuu na mimi nilitaka kuandika hivyo hivyo umeniwahi. Huu msemo wa magamba kwamba Chadema wanataka nchi isitawalike. Hapa nilipo hakuna umeme hivi sasa na mafuta hakuna na maji yamekatika tangu jana!

Kasi mpya nguvu mpya! Maisha bora kwa kila Mtanzania.
Serikali legelege inachezewa na kila mtu, kingekuwa chama makini kama CDM wa2 wangeshawajibishwa.

Serikali legelege inachezewa na kila mtu, kingekuwa chama makini kama CDM wa2 wangeshawajibishwa.

hapa tatizo tumekodisha kila kitu kama dada irene anasema pangisha kila kitu cha tanzania hadi na watu ikibidi wewe wapangishe..

cha kuuliza si kama ni chadema wameshinikiza wauza mafute wagome, ni kujiuliza ya kwua kwanini chadema hawajawashinikiza wananchi waandamane dhidi ya wauza mafuta hata ikibidi wachome vituo vyao maana mateso halizi ya mwananchi wa kawaida ni haya tunayoyaona sasa. kama kweli chadema wanatetea wananchi, hoja ni hii!

Mnajua nini?
Mimi ninaside na hawa wafanyabiashara

In short Tanzania ni nchi ambayo ngumu sana kufanya biashara na sishangai sana kuhusu hizi charges na rushwa iliyokithiri

serikali inasema meli zinakaa siku 5 kule baharini...ukweli ni kuwa meli zinakaa mpaka siku 50 kule nje baharini kwenye foleni sasa hilo huhitaji kujua kuwa kuna incompetency sehemu na sishangai kuskia TRA na EWURA wana husika

Sasa huyu kaleta hoja na vielelezo na kasema kama kuna mtu anahitaji zaidi amtumie e-mail.

sisi tumezidi:

rushwa

urasimu

mazingira magumu kufanya biashara

Kodi zisizoeleweka kila kona badala ya kodi moja na ambayo inaeleza inafanya nini

local authorities kujaa staff ambao pia ni wala rushwa na wahuni

sasa tusitake kukaa hapa na na kutaka kuitakasa sana serikali na departments zake ili hali ukweli tunaujua lakini hatutaki kuuweka wazi. Naungana na wenye vituo hivi na nashauri its about time they come back and fight hizi slander wanaztumiwa kwa kuweka wazi jinsi wanavyonyonywa watu kama TRA,TBS,EWURA, LOCAL AUTHORITIES na kadhalika.

sitaki kuanzisha thread nyingine kwani siku hizi naona kabla hujaanzisha thread inabidi ipitie kwa GESTAPO wa JF kabla hajatundikwa so tutaendelea humu humu kuelezana

Lakini baada ya catalogs za uwongo toka serikalini mimi nikiambiwa nani nimwamini between serikali na wafanyabiashara hawa then nadhani mnajua nitakuwa upande upi
Kama umetumwa,kawaulize wenzako swali lifuatalo,
Mwezi mmoja uliopita,dealer's margi ilikuwa kiasi gani kwa lita,na kwa bei mpya ni kiasi gani kwa lita?
Ninazo data,nataka data zenu.

Tumezoea kusikia wanasiasa wa chama tawala CCM wakishutumu chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kuwa ndicho kinachochea migomo vyuo vikuu. Naomba kuuliza, hawa wauza mafuta waliogoma nao wameshinikizwa na chadema?

Ningependa sana wana CCM wenzangu mnijibu.

Nawasilisha

swala la mafuta halijakaa kisiasa.. ila wanasiasa plus wafuasi wa chadema wanalichukulia kisiasa.. sijajua kwa nini umeingiza CCM hapa....

Nimekutana na wafanyabiashara 3 wakubwa wa mafuta wamemkubali mno SLAA kwamara yakwanza wamemsifu mno kwajinsi alivyotoa maoniyake kuhusu mgogorohuu,alisema tunaita wawekezaji tanzania kilasiku lakini kwamazingira haya unamkamua mwekezaji kodi kibao hapohapo unamlazimisha auze mafuta kwa bei yahasara je unatarajia nini kwawanaotaka kuja kuwekeza tanzania?wanasema SLAA ndie alitakiwa awe presidaa Wa nchi hii,kwa maoni yangu nahisi SLAA kwamara yakwanza kapata sapoti nakukubalika toka kwawafanya biashara wakubwa ambao inajulikana wazi ni wafaDHILI wakubwa wa CCM

Hakuna cha bei ya hasara wala nini,bei iliyopangwa ndiyo ya kihalali.
Bei ya mafuta huwa iko affected na FOB,kwa asilimia karibu 80%.Kodi na gharama nyingine huwa ziko constant na kama zita affect bei ni kwa kiasi kidogo compared to FOB.
Labda unifahamishe faida waliyokuwa wanapata mwezi uliopita ambayo ni tofauti na mwezi huu(Based on cap prices).

Back
Top Bottom