MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,136
- 3,924
Nimeona vituo vyake kadhaa vya chakula Kule Masaki,Sinza,Fire na shekilango nadhani.
Ukiacha wa kule ushuani sijui masaki ambao upo vizuri mingine naona inazorota.
Mfano sinza alianza kujenga akasitisha na kuhamisha.
Shekilango pia habari ile ile.
Fire pale petrol station nao naona kama unasuasua.
Je ni nini?
Location,price,products,capital,management?
Kwa macho yangu naona hafanyi vizuri.Au mabishoo wanaenda kupiga selfie tu kama KFC?