toyota ni magari ya kaziWengi wenye magari ya Toyota Wana nature ya uchafu
Wengi wenye magari ya Toyota Wana nature ya uchafu
itakuwa na novichock[emoji848] [emoji848] [emoji848] Dah chupi itakuwa na kemikali hatarishi.
mh hapo lazima utajitolea kumsafishiaHuwezi jua labda ni gari ya baba mkwe wako mtarajiwa hiyo
Duh, jamaa kaanikwa vibaya kwel kwel...
Ha ha... Tofauti kabisa na sie wenye magari ya kijeremani tunayajali sana magari yetu...Wengi wenye magari ya Toyota Wana nature ya uchafu