Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

Mchungaji akiwa hana Nyumba /gari
Tuna mchangia

Muumini akiwa hana Nyumba /gari Tunamfanyia maombi ili apate

Hii dunia imejaa wapumbavu sana
 
Angesema amejenga mwenyewe, watu na serikali wangehoji ametoa pesa wapi? amelipa kodi? Anafanya biashara gani?
Sasa kucheza na mind, imebidi kutengeneza mchezo wa kusema amejengewa na waumini wake (tena sio waumini wa Dar!), kwa muda wa miaka 12 nk.

Hizi dini ni usanii sana.
Ukitaka kutoboa faster kuwa tapeli wa dini
 
'Niambieni usanii wake ni upi? alishazalisha mke wa mtu,alishaua watu? alishatembea na waumini zake? alishavaa pete za ajabu? alishalewa hadharani?'

Huyu jamaa alikua anawaambia waumini wake wakiingia kanisani kwake na vitu vya dhahabu kama Pete,Mikufu,heleni wanamkabidhi avichome mote maana ni vitu vya shetani hivyo.

Siku anahojiwa na Pasco Mayalla akaombwa aonyeshe wapi hua anachomea hivyo dhahabu za waumini wake,aling'aka hatari saaana.
Huyo jamaa hajui
 
Mr Ibu wrote this on his FB page:

STUPIDITY is when you don’t have a bicycle and you give your last penny to your pastor to buy a jet.

MUMU is when you can’t pay your children’s school fees and yet have money to contribute to your church to build expensive schools which your children will never attend.

IDIOCY is when you refuse to take your very sick child to the hospital because your pastor said you should not do so, yet that same pastor secretly runs to USA for medical attention any time he has a headache.

KOLO is when you see a poor beggar on the road and you refuse to give him 50 naira out of the 5000 naira in your pocket because it is your tithe money….

YOU are a zombie when you trek, dance and gallivant for 30 kilometers under the hot sun sweating and smelling like poo during your revival program, while your pastor is inside a full option, factory fitted air-conditioned state of the art SUV with his delectable wife slow driving along the road.

IGNORANCE is when you believe it when your pastor tells you not to live a worldly life, yet he enjoys all the best things in the world; the fine houses, cars, jets, babes etc, while you are waiting till you get to heaven to enjoy your own….

STOP worshipping your pastors!!! Stay focused on Jesus, the author and finisher of your Faith. And learn to study the word of God.
 
Naked truth ..hii inachoma zaidi ya pasi
 
Kajijngea mwenyewe then kazuga wampe kama zawadi,, ili wakina sisi tisipige kelele kwamba katumia fedha za waumini. Mjini mipango, ngoja nikanunue mihogo nipate chai ili nitunze pesa ya sadaka jpili
Kwa bongo sasa tungesema 'tumejenga kwa kutumia fedha za ndani'.
 
Tangu lina umewahi kuona makanisa hayo ya kina Mwampisa, Kakobe au Rwakatale yakitoa hata msaada wa gunia la mahindi ?
Hapa Askofu Zachary Kakobe akitoa msaada kwa wafungwa katika mojawapo gereza kuu nchini Burundi.

Tazama video ya Askofu Zachary Kakobe akiwa gerezani kupitia link hii ya YouTube

Wakuu tuzungumze tukiwa na uhakika na siyo kuandika kila unachowaza hata kama ni UTOPOLO !
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    17.7 KB · Views: 1
Yeah,ndani vyoo na mabomba ni dhahabu tupu,,talazo imetoka europe na america,
Malumalu zile za kisasa kabisa kama zile alizozikuta Adili kwenye mji wa ajabu,,
Kila kitu kiko automated,kuanzia geti hadi toilet,,
Kuna ATM za maziwa,nyama choma,mvinyo wa italy,birian,vyuku etc,
Kitanda ni platinum,magodoro ya sufi,mapazia ya hariri,
Tv ya nchi 100,yenye chanels 2000,
Ni pazuri mno kwa kweli.
Dah
 
Back
Top Bottom