Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

Niambieni usanii wake ni upi? alishazalisha mke wa mtu,alishaua watu? alishatembea na waumini zake? alishavaa pete za ajabu? alishalewa hadharani?

Naomba nisamehewe kama nimekwaza watu ni mawazo yangu tu! na mm ni mkatoliki saafi!

Ahsanteni

Mkuu Maisha popote

Ni kweli umemkwaza bwana Bulldozer, Mheshimiwa sana...Josep (Pep) Gwajima, na mzee wetu wa upako Antonio Lusekelo

Hata hivyo, umesamehewa kama ulivyokwisha tangulia 'kukiri kosa' lako.
 
Bulldozer ana kimeo gani?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Una roho ya ki-maskini na hujui wokovu.

MUNGU ana kila kitu ila alipewa sadaka na Habili na kaini.

Mungu ameumba vitu vyote, fedha na dhahabu ni vyake lakini bado tunamtolea.

Elewa, zawadi na sadaka ni appreciation na si kumpa mtu kwakuwa hana.

Mungu ameagiza kutoa, na hapo ndipo ananpopimwa mwanadamu uaminifu wake , "Anania na Safira walidanganya kuhusu kiwanja walichouza na Walikufa" Mungu aliwapima uaminifu na si kwamba alitaka fedha toka kwa anania na Safira.
Nachelea kusema hujamwekewa ndugu Maisha popote
 
Kwa Kuongezea hapo kwenye upigaji,na mengineyo!

1.Ameanzisha kanisa mwaka 1989 akiwa na waumini 13

2.Ana makanisa zaidi ya 1000 Tanzania yote

3.Sadaka huwa haikatwi kodi

4.Ana kanisa na waumini zaidi ya 5000 nchini Korea kusini na yeye ni maarufu mno

5.hakuna mchungaji yoyote wa kiroho,labda umtoe Moses Kulola (Marehemu) anayeheshimika na waumini kama Kakobe,na kupendwa nao

6.TRA walimkuta na sh Bilioni nane cash Bank zenye maelezo yaliyonyooka, ikabidi TRA wamchunguze mke,watoto, au ndugu zake kwa kushirikiana na TISS kama wana biashara ingine

7.kuna Kitu Kinaitwa Imani, Ukiacha TAG ya moses Kulola hakuna kanisa lingine la kiroho linamkuta Kakobe kwa waumini Tanzania...na hawa waumini wanayoa sadaka,na sadaka zinagawanywa kati ya wachungaji, na familia ya kakobe...

Hitimisho: Angeamua Kuishi kama wachungaji wengine wanavyoishi, nigeria,us au uk wale wachungaji wa kinegiria au kina bushiri ningepata mashaka nae..
ila kama unajitambua...ukimuangalia KAKOBE na hawa wachungaji wengine wa Kiroho unamuona kabisa yeye ni wa tofauti kabisa....

Ukiambiwa KAKOBE umlinganishe na hawa wachungaji wengine wa kiroho utamlinganisha na nani? mimi Labda Moses Kulola...na Mwakasege (japokua mwakasege ni mwalimu)

Niambieni usanii wake ni upi? alishazalisha mke wa mtu,alishaua watu? alishatembea na waumini zake? alishavaa pete za ajabu? alishalewa hadharani?

Naomba nisamehewe kama nimekwaza watu ni mawazo yangu tu! na mm ni mkatoliki saafi!

Ahsanteni
Umesema kweli kabisa
 
Hapa Askofu Zachary Kakobe akitoa msaada kwa wafungwa katika mojawapo gereza kuu nchini Burundi.

Tazama video ya Askofu Zachary Kakobe akiwa gerezani kupitia link hii ya YouTube

Wakuu tuzungumze tukiwa na uhakika na siyo kuandika kila unachowaza hata kama ni UTOPOLO !

Askofu Kakobe anatoa misaada kwa jamii ndani na nje ya nchi na mara nyingi hapigii debe kwenye media ! Hii ni tabia njema kwa mtumishi wa Mungu wa Kweli kama yanenavyo maandiko matakatifu kwa Wakristo.
 
Attachments

  • Bishop Kakobe donates to Prisoners in Burundi ( 360 X 640 ).mp4
    7.4 MB
Hahah thnxs kwa picha mkuu,hilo ni hekalu aisee,no wonder mzee baba walimpa bonge la funguo hahah.

Mchunga kondoo amestaafia pazuri sana aiseee.
Yaani atafia pazuri mchunga kondoo...watu wana bahati eeh..!!😱😱🙉🙉
 
Waumini wake wamenyong'onyeaaaa kama wanaumwa.

Wako full radicalized aisee.

Katika maisha haya kuna vitu ni underated sana.

Uhuru wa fikra ( hasa ukidhibiti njaa ), Utu, na

Kujitegemea kimawazo
deep sana hii..deep sana
 
Hiyo nyumba nadhan naijua. Ni kasri kubwa balaa.

Ipo junctiin ya rainbow mbezi chini, next to GBP petrol station.

Hiyo kighorofa ni balaa kubwa. Jioni nitakipiga kapicha aisee
View attachment 1641269View attachment 1641270View attachment 1641271View attachment 1641272View attachment 1641273View attachment 1641274
Japo ninachojua pale ni Makao makuu ya FGBFT na Kituo cha Radio na Televisheni... Nyumba aliyopewa ipo Kijitonyama kwa Ali Maua jirani na Hoteli ya Mesuma au Salma Kikwete Sec. Au kituo cha polisi Ally Maua... nikipata Muda nitawaletea picha...
 
Sawa mkuu, inawezekana.

Wacha tusubiri.
Lakini nachowaza kituo cha redio na televisheni hakina hata branding.
 
Kwa Kuongezea hapo kwenye upigaji,na mengineyo!

1.Ameanzisha kanisa mwaka 1989 akiwa na waumini 13

2.Ana makanisa zaidi ya 1000 Tanzania yote

3.Sadaka huwa haikatwi kodi

4.Ana kanisa na waumini zaidi ya 5000 nchini Korea kusini na yeye ni maarufu mno

5.hakuna mchungaji yoyote wa kiroho,labda umtoe Moses Kulola (Marehemu) anayeheshimika na waumini kama Kakobe,na kupendwa nao

6.TRA walimkuta na sh Bilioni nane cash Bank zenye maelezo yaliyonyooka, ikabidi TRA wamchunguze mke,watoto, au ndugu zake kwa kushirikiana na TISS kama wana biashara ingine

7.kuna Kitu Kinaitwa Imani, Ukiacha TAG ya moses Kulola hakuna kanisa lingine la kiroho linamkuta Kakobe kwa waumini Tanzania...na hawa waumini wanayoa sadaka,na sadaka zinagawanywa kati ya wachungaji, na familia ya kakobe...

Hitimisho: Angeamua Kuishi kama wachungaji wengine wanavyoishi, nigeria,us au uk wale wachungaji wa kinegiria au kina bushiri ningepata mashaka nae..
ila kama unajitambua...ukimuangalia KAKOBE na hawa wachungaji wengine wa Kiroho unamuona kabisa yeye ni wa tofauti kabisa....

Ukiambiwa KAKOBE umlinganishe na hawa wachungaji wengine wa kiroho utamlinganisha na nani? mimi Labda Moses Kulola...na Mwakasege (japokua mwakasege ni mwalimu)

Niambieni usanii wake ni upi? alishazalisha mke wa mtu,alishaua watu? alishatembea na waumini zake? alishavaa pete za ajabu? alishalewa hadharani?

Naomba nisamehewe kama nimekwaza watu ni mawazo yangu tu! na mm ni mkatoliki saafi!

Ahsanteni
"6.TRA walimkuta na sh Bilioni nane cash Bank".
Aliyeelewa hapo juu tafadhali msaada tutani.
 
TUACHE UPOTOSHAJI !

Askofu Kakobe hakukutwa pesa benki kwa sababu hana akaunti katika benki yoyote duniani. Bali pesa yote ni mali ya kanisa kwa kuwa akaunti hiyo ni ya kanisa kama taasisi.

TUREJEE TAARIFA SAHIHI YA TUKIO ZIMA.
 
Back
Top Bottom