sawaNamsemea Jiran hapa
Mimi siye pot.
sawaNamsemea Jiran hapa
Mimi siye pot.
Jaman!..sitaki nikumbuke enzi zile..kama kweli tutatulia sasa.Waache watafute aibu na maradhi kwa nguvu zote. Nimesoma sehemu kuwa serikali imesitisha utoaji wa ARV bure, kila muathirika atajigharamia mwenyewe. Tunarudi kule kwa miaka ya '90, watu walikauka kama kuni.
Sawa ni chice,lakini chice haiepukiki kwa baadhi yetu kuchagua wrong choice,kwa sababu ndio nature yenyewe,kama wewe uko imara na hauna mchezo katika chice basi ni wewe,lakini bado watu watendelea kuwa tofauti kwenye choice,huoni kwenye kuvaa,huwezi kukuta duka linauza mavazi au viatu aina moja,au kwenye kula huwezi kuta chakula aina moja hotelini,huo ndio unaitwa utofauti wa kibinadamu.Whatever the reason, cheating is a "CHOICE". Ukitaka kucheat utacheat tu, na usipotaka kucheat hautocheat period.
Othiambo unaogopa eenh,maana ARV zimefungiwa sasa,HPA KAZI TU SIO NGONO.Jaman!..sitaki nikumbuke enzi zile..kama kweli tutatulia sasa.
Oooops......Hujanielewa.Sawa ni chice,lakini chice haiepukiki kwa baadhi yetu kuchagua wrong choice,kwa sababu ndio nature yenyewe,kama wewe uko imara na hauna mchezo katika chice basi ni wewe,lakini bado watu watendelea kuwa tofauti kwenye choice,huoni kwenye kuvaa,huwezi kukuta duka linauza mavazi au viatu aina moja,au kwenye kula huwezi kuta chakula aina moja hotelini,huo ndio unaitwa utofauti wa kibinadamu.
Hahaha tabhatebhi mura abhaswahili bhano nkutusela bhale abhasacha.Hiyo ni akili ya Abunuasi,watu tunagonga nyumbani mpaka wife anasema basi nimekoma,na hataki tena wiki nzima,mpaka anatoa ruhusa kwa ridhaa kabisa na ananiambia baby nakuruhusu tafuta mchepuko uwe unapunguzia charge kwake ili ukija nyumbani usiniumize,CHEZEA KICHURI WEWE?(SASA UNAINGIA MKOA WA MARA),na ndio sababu tunaoa wake 26.
Aaaah sana,na zile sauti huwa baaaab kubwa yaani full kinanda au bajaj,niliwahi kumwambia demu wangu asione haya,yaani ajiachie tu,akasema baby sio kosa langu ni wewe mshedede wako una tight sana na uki pump hewa yote inajaa ndani na wala hairudi nje,inakuwa kama pump ya baiskeli halafu ukichomowa ndio hewa yote inatoka ndani na kunguruma,nikamwambia najua hiyo ni escaped vacuum na sio yeye tu,huwa inatokea kwa mademu wengine,baasi tokea siku hiyo anajiachia tena kwa makusudi mazima,yaani katikati ya game huwa anaichomoa halafu anawasha bajaji.Hahahah lazima atoke nduki mkuu,huwezi ukajifanya unajua vitu unless u practice sana,sasa sisi wanaume ndo wazee wa kupractice na tuna vivid examples kabisaa.
nitafurahi zaidi akijibu lile swali kuhusu sauti zile zinazotoka kule pahala...hahahahahah
Basi heaven,mimi naona unaona haya kunieleza kinaga ubaga kwa kuogopa kadamnasi,unaonaje uje PM unifahamishe kwa kina?,hujui kwamba unaweza ukapata malipo mbinguni kwa kuniokoa na uzinzi?Oooops......Hujanielewa.
Yataisha mpaka pale Padre anaposema ULITOKA KWA VUMBI NA UTARUDI KWA VUMBI,BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,AMEN.duuuh noma sana, hv mambo ya kuchepuka yataisha kweli?
Napenda kukupongeza sn ndugu kw mada yako kwn inamafunzo ndn yake y kutosha! Mm pia binafsi naungan n ww kw 100% kwn unajitahidi kutufundisha na pia umeenda kwny lengo lenyewe la jamii forum kwn unaelimisha jamii! napenda watu km ninyi wenye mawazo yenye tija ktk jamii! Big up sn! kwn pamoja kutokomeza michepuko inawezekan!
Yani ujio wa huyu bwana umefunga jeuri zote..na hili likifanikiwa tutaishi na amani ya nafsi kwa utulivu tutakaojipa,mana mtaani vijana walikua wanafanya kama utani wakijua kipoozeo kipo utaskia "yule mbona mi nisharamba kitambo"..sasa itakua hakuna kuramba wala kutafuna.Othiambo unaogopa eenh,maana ARV zimefungiwa sasa,HPA KAZI TU SIO NGONO.
Huo ni uongo,mwanaume anachepuka coz mke wake mambo hayawezi,unakuta mtu anahonga nyumba,halafu utasema anajiburuza kama nyoka?,yaani anaingia gharama kwenda kumwaga dk1?,hapana hapo pana shughuli kubwa sana yenye tija na ufundi,sio kwenda kujiburuza,kama ni hivyo huyo mkewe si ndio hata kujiburuza hakuna,si itakuwa kama kulala na shangazi kabisa?ILA sometime mnatusema vibaya "yaan anajiburuza Kama nyoka "
Ngoja Nikakate rufaa nitarudi sikubali .
Nashangazwa sana kwakwl hata mimi maana yanini uende nje ukajidhalilisheSi wanaume wote, wengine tunapiga show za uhakika hadi kutafutwa kwa ajili ya mwendelezo wa libeneke.
Wenye shida ya nguvu kitandani hata mi nawashangaa kinachowapeleka kupiga mechi za ugenini ni nini?
Kwani umesahau kuna miamvuli?,hata hivyo dawa ya ngoma tayari imeishagunduliwa,ni swala la muda tu,kwa hiyo HAPA KAZI TU LITAISHIA KWENYE KUTAFUTA KURA TU 2020,vijana na wazee acha waondoe UGWADU,hata wakisema "yule mi nisharamba" wala haina tabu coz hawajairamba wakaondoka nayo au kuimaliza kama ice cream,kingine hiyo isikupe tabu coz vijana hupenda kusema uongo hata kwa mwanamke anaejiheshimu kwa hiyo huwa tunachukulia kama ni kujifurahisha kinafiki.Yani ujio wa huyu bwana umefunga jeuri zote..na hili likifanikiwa tutaishi na amani ya nafsi kwa utulivu tutakaojipa,mana mtaani vijana walikua wanafanya kama utani wakijua kipoozeo kipo utaskia "yule mbona mi nisharamba kitambo"..sasa itakua hakuna kuramba wala kutafuna.
mkuu usibishe mimi apa ninaushaidi wakutosha to awo watu wa dk 1 wapo alafu niwahongaji wazuri sana kushinda unae piga show ya kihindi masaa mengi me nimeshakula madem zaid ya 3 walioachwa na nye*****ga na awo watu tena mtu anachukua hotel ya bei lakin fast katoka adi wahudum wanashangaa kunatatizoHuo ni uongo,mwanaume anachepuka coz mke wake mambo hayawezi,unakuta mtu anahonga nyumba,halafu utasema anajiburuza kama nyoka?,yaani anaingia gharama kwenda kumwaga dk1?,hapana hapo pana shughuli kubwa sana yenye tija na ufundi,sio kwenda kujiburuza,kama ni hivyo huyo mkewe si ndio hata kujiburuza hakuna,si itakuwa kama kulala na shangazi kabisa?