Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Habari wanajamii,

Naomba niongee nanyi waume zetu jamani, hebu tulieni na wake zenu maana cha zaidi mnachokitafuta ni aibu na magonjwa.

Nikiwa saloon (kama mnavyojua mambo ya saloon) wadada wakawa wakiongea, mmoja anatembea na mume wa mtu akasema "yaani yule boya nataka hela zake tu,kitandani hana kitu kabisa,yaani kimoja tu tena cha nusu dakika yuko hoi,ananichafuaga tu na ule mtumbo wake anajiburuza tu kama nyoka. Namuonea huruma mkewe maana alivyo mzuri, bora mimi nina jamaa yangu wa kunikuna,sasa mkewe sijui anafanyaje masikini"

Wakacheka wote kwa mkupuo na kuendelea kuwaongelea wanaume in general na wakitoa shuhuda zao za vituko wanavyokutana navyo.Sio siri nilijikuta naumia nafsi kama ndio mimi vile,nikawaza hiyo aibu.

Hivi mnajijua uwezo hamna,ni nini sasa mnachokitafuta?
Au ni kwamba hamyajui hayo madhaifu yenu,au mnataka nanyi muonekane vidume? au...... au...... najikuta tu nabaki na au au.

Na wanawake wenzangu tujitahidi kwenye masuala ya maakuli na kuwashauri mazoezi,tusiruhusu hivyo vitambi vyao, mume wangu nimemtengenezea kabisa routine ya kula na bahati nzuri hapendi kitambi so na mazoezi anafanya japo mvivu sometimes, so huwa namsisitiza sana kuhusu mazoezi na ikiwezekana tunafanya wote.

Nanyi wanaume hebu mfunge zipu,majaribu yapo ila mshindeni shetani myashinde.

Asubuhi njema wapendwa.
Mnasahau kuwaandaa waume zenu!!!!
 
Waache watafute aibu na maradhi kwa nguvu zote. Nimesoma sehemu kuwa serikali imesitisha utoaji wa ARV bure, kila muathirika atajigharamia mwenyewe. Tunarudi kule kwa miaka ya '90, watu walikauka kama kuni.
 
hivi yule natafuta alishajibu maswali yako Yale kwenye ule uzi wake flani hivi?
Mkuu,hajajibu hata nukta,yaani kauchuna na kuingia mitini,lakini sitamuacha mpaka aache kujifanya anautaalamu na anga za mademu,hajui sisi ni mafisi maji na ndio tunashiriki majamboz na vimwana humo vyumbani kwetu,kwa hiyo tunajua mavituz vya madenish kuliko MAKUNGWI.Hiyo kazi niachie mimi tu,na kama akijileta kujibu basi itakuwa burudani kwa wana JF.
 
wanaume wnahitaji ufundi wa mke ili waweze kutulia ila wanawake nao watulie coz ya hela mnaishia kuchafuliwa tu na wenye vitambi wasiojua kuwasugua
 
Shaurianeni na nyie wadada muache waume wa wenzenu....Maanake huko nje wanachepuka na wanawake.
 
baba yoyoo karibu JF! Mwambie mama yeyoo A.K.A my small house wangu wa pale Enduleni nimemiss sn. Mwambie high season ndiyo hiyooo imenukia, full Ma-USD in my pocket...😛
 
  • Thanks
Reactions: irk
duuuh noma sana, hv mambo ya kuchepuka yataisha kweli?
 
Asili ya binadamu yupi?
Asili ya sisi binadamu wote ukiwemo wewe,hivi unafikiri swala la tamaa ya ngono ni kama kutamani kula au kusikia njaa au kiu ya maji,hapana sababu ukisikia njaa unaweza kula chochote kinacholika na njaa ikaondoka,na ukisikia kiu unaweza kunywa chochote na kiu kwishney,lakini ukimzimikia demu mahala fulani huwezi kusema aah niachane nae ,niende nyumbani nikamtafune wife,ni kwamba mwanaume ameumbwa muwindaji naturali(kiasili),akiwa msituni hawezi kusema eti nimeacha vitoeo vya kutosha nyumbani,kwa hiyo hawa wanyama hapa ni wengi,kwa hiyo sitaki kuwawinda na narudi mikono mitupu,hapana ni lazima awinde apate kitu kipya labda kitakuwa zaidi ya vile nilivyoacha nyumbani.basi kuchepuka ndivyo ilivyo,mwanaume atasarandia ngoma mpaka aipate au aseme sizitaki mbichi hizi,na arudi nyumbani hata mzuka hana tena wa kitoeo alichowinda zamani,na atabaki akifikiria nyati waliomtoroka kule porini huku akipanga mikakati ya namna gani atawinda tena kesho,hapo na usingizi utampitia na kiporo chake kiko pembeni.
 
Yani uwa ina kera san basi tu ukiskia mumeo anasemwa ivyo yan ni zaid ya aibu hasa kwa mke
 
Waache watafute aibu na maradhi kwa nguvu zote. Nimesoma sehemu kuwa serikali imesitisha utoaji wa ARV bure, kila muathirika atajigharamia mwenyewe. Tunarudi kule kwa miaka ya '90, watu walikauka kama kuni.
Kwa hiyo,misaada ya dawa itolewe na mzungu halafu Serikali dhalimu inatoza pesa wananchi masikini,ambao wameletewa umasikini na Serikali yao au vipi?,sijawahi kusikia sadaka au zaka ikauzwa,ndio maana kila ukisikia kifo cha Muheshimiwa au kiongozi wa aina yoyote wa Serikali utasikia kafariki hovyo hovyo tu,ukimwi,saratani,ajali mbaya,au ghafla kama kibudu.na bado,sababu BWANA MUNGU YUPO.
 
Asili ya sisi binadamu wote ukiwemo wewe,hivi unafikiri swala la tamaa ya ngono ni kama kutamani kula au kusikia njaa au kiu ya maji,hapana sababu ukisikia njaa unaweza kula chochote kinacholika na njaa ikaondoka,na ukisikia kiu unaweza kunywa chochote na kiu kwishney,lakini ukimzimikia demu mahala fulani huwezi kusema aah niachane nae ,niende nyumbani nikamtafune wife,ni kwamba mwanaume ameumbwa muwindaji naturali(kiasili),akiwa msituni hawezi kusema eti nimeacha vitoeo vya kutosha nyumbani,kwa hiyo hawa wanyama hapa ni wengi,kwa hiyo sitaki kuwawinda na narudi mikono mitupu,hapana ni lazima awinde apate kitu kipya labda kitakuwa zaidi ya vile nilivyoacha nyumbani.basi kuchepuka ndivyo ilivyo,mwanaume atasarandia ngoma mpaka aipate au aseme sizitaki mbichi hizi,na arudi nyumbani hata mzuka hana tena wa kitoeo alichowinda zamani,na atabaki akifikiria nyati waliomtoroka kule porini huku akipanga mikakati ya namna gani atawinda tena kesho,hapo na usingizi utampitia na kiporo chake kiko pembeni.
Mkuu naona umetumia nguvu nying saana kutetea uchepukaji.... Daaah asili yetu ni mume na mke mmoja Adam na hawa. Hakuna mahali ambapo Adam alitaman mke mwingine.

Ukiendekeza tamaa lazima tuu utaona kawaida,
 
Kwa hiyo unamtengenezea mavyakula na kumsisitiza afanye mazoezi ili tu AKIENDA KUCHEPUKA ANGALAU AGONGE VIWILI...!!?? Basi sawa
Huyu ni mgeni kabisa kabisaaaaaaa wa mambo ya MANJEMBA,njemba lione tu limekaa nyumbani limetulia tuliii linamuita mkewe honey ooh honey,tena linaijua Bible kwa kwenda mbele,mkewe nakwambia anajishaua shaua humo ndani kama Malikia,kumbeeeee dooooooooh,bonge la fisi maji lakini kwa kutumia MAHESABU MAKALIIIIIIIIIIIIIII.
 
Back
Top Bottom