Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Mie niliwakuta wanawake saluni pale Shinyanga, wanapeana maujuzi namna ya kumfanya mwanamme awe anasimamisha akiwa kwako tu na akienda kwa mkewe haisimami: walisema kuwa unachukua mdudu nge unachanganya na mapumbu ya mbuzi unasaga pamoja unamuwekea kwenye chakula, nyingine unafunga kifundo unaweka chini ya mto na chini ya mtungi yaani hapo unakuwa umemaliza kila kitu, itakuwa inasimama akija kwako tu shost kwa mkewe haisimami: USHAURI WANGU WANAUME KUWENI MAKINI NA HIZO NYUMBA NDOGO MNAFANYIWA MAMBO MENGI YA UCHAFU NA YA AJABU SANA
naungana na mtoa post
Nitapataje mke wa pili bila Nyumba ndogo
 
Asili ya sisi binadamu wote ukiwemo wewe,hivi unafikiri swala la tamaa ya ngono ni kama kutamani kula au kusikia njaa au kiu ya maji,hapana sababu ukisikia njaa unaweza kula chochote kinacholika na njaa ikaondoka,na ukisikia kiu unaweza kunywa chochote na kiu kwishney,lakini ukimzimikia demu mahala fulani huwezi kusema aah niachane nae ,niende nyumbani nikamtafune wife,ni kwamba mwanaume ameumbwa muwindaji naturali(kiasili),akiwa msituni hawezi kusema eti nimeacha vitoeo vya kutosha nyumbani,kwa hiyo hawa wanyama hapa ni wengi,kwa hiyo sitaki kuwawinda na narudi mikono mitupu,hapana ni lazima awinde apate kitu kipya labda kitakuwa zaidi ya vile nilivyoacha nyumbani.basi kuchepuka ndivyo ilivyo,mwanaume atasarandia ngoma mpaka aipate au aseme sizitaki mbichi hizi,na arudi nyumbani hata mzuka hana tena wa kitoeo alichowinda zamani,na atabaki akifikiria nyati waliomtoroka kule porini huku akipanga mikakati ya namna gani atawinda tena kesho,hapo na usingizi utampitia na kiporo chake kiko pembeni.
Kutamani inawezekana kila mtu anatamani at some point, but sio kila mtu anafuatisha tamaa zake mara zote. Unaweza ukatamani na ukapotezea, na unaweza kuendelea mbele kwa kufanya choice na ukafuatisha tamaa zako. So the choice is your's
 
Kwa hiyo,misaada ya dawa itolewe na mzungu halafu Serikali dhalimu inatoza pesa wananchi masikini,ambao wameletewa umasikini na Serikali yao au vipi?,sijawahi kusikia sadaka au zaka ikauzwa,ndio maana kila ukisikia kifo cha Muheshimiwa au kiongozi wa aina yoyote wa Serikali utasikia kafariki hovyo hovyo tu,ukimwi,saratani,ajali mbaya,au ghafla kama kibudu.na bado,sababu BWANA MUNGU YUPO.
Well, hizo habari sio za kweli. Mwananchi ndio waliandika lakini serikali imekanusha. Lakini uzinzi matunda yake ni aibu na maradhi, huna sababu ya kulala ovyo huku umeacha mke nyumbani...
 
Mkuu naona umetumia nguvu nying saana kutetea uchepukaji.... Daaah asili yetu ni mume na mke mmoja Adam na hawa. Hakuna mahali ambapo Adam alitaman mke mwingine.

Ukiendekeza tamaa lazima tuu utaona kawaida,
Sisemei wanaume wote,namanisha baadhi yetu ambao tuna tamaa ya ngono,wanaume wengine ni wavumilivu na tena wanzishinda roho zao hata zikitamani vipi,wao wana msimamo mmoja tuu,kwamba hwawezi kuwasaliti wake zao,lakini bahati mbaya utakuta mwanaume mwaminifu ana mke KICHECHE.
 
Kutamani inawezekana kila mtu anatamani at some point, but sio kila mtu anafuatisha tamaa zake mara zote. Unaweza ukatamani na ukapotezea, na unaweza kuendelea mbele kwa kufanya choice na ukafuatisha tamaa zako. So the choice is your's
Ni kweli usenavyo,na ndio maana nasema sio wanaume woote,bali ni baadhi tu ambao tuna pepo la ngono na pia wanawake nao ni hivyo.
 
We mbea nawe ulienda saloon kufanyanini?kusuka au kusogoa
 
  • Thanks
Reactions: irk
Waache watafute aibu na maradhi kwa nguvu zote. Nimesoma sehemu kuwa serikali imesitisha utoaji wa ARV bure, kila muathirika atajigharamia mwenyewe. Tunarudi kule kwa miaka ya '90, watu walikauka kama kuni.
Bahati mbaya zaidi hayo maradhi na aibu zinamfikia hadi yule mke ambaye anaambiwa kuwa men kucheat ni nature yao, so hana ya kujali chochote mumewe anachofanya nje, yeye atulie tu ndoani [emoji27] [emoji27]
 
Mkuu,hajajibu hata nukta,yaani kauchuna na kuingia mitini,lakini sitamuacha mpaka aache kujifanya anautaalamu na anga za mademu,hajui sisi ni mafisi maji na ndio tunashiriki majamboz na vimwana humo vyumbani kwetu,kwa hiyo tunajua mavituz vya madenish kuliko MAKUNGWI.Hiyo kazi niachie mimi tu,na kama akijileta kujibu basi itakuwa burudani kwa wana JF.
Hahahah lazima atoke nduki mkuu,huwezi ukajifanya unajua vitu unless u practice sana,sasa sisi wanaume ndo wazee wa kupractice na tuna vivid examples kabisaa.
nitafurahi zaidi akijibu lile swali kuhusu sauti zile zinazotoka kule pahala...hahahahahah
 
ILA sometime mnatusema vibaya "yaan anajiburuza Kama nyoka "

Ngoja Nikakate rufaa nitarudi sikubali .
 
Kutamani inawezekana kila mtu anatamani at some point, but sio kila mtu anafuatisha tamaa zake mara zote. Unaweza ukatamani na ukapotezea, na unaweza kuendelea mbele kwa kufanya choice na ukafuatisha tamaa zako. So the choice is your's
Na ni lazima baadhi yetu tutamani wanawake tofauti tofauti na hatukinai,sababu nyie wanawake sasa hivi mnachochea ngono bila kutuhurumia,mfano mnavaa uchi uchi na mnapendeza kupita maelezo,sasa mwanaume ambae hatamani basi ujue ana tatizo,hivi mnavyo jianika hivyo kuachia maumbile yenu tena nyeti waziwazi huwa mnadhamiria nini?,kama umeolewa sasa unamuonesha nani? kama si wanaume wengine?,kama kupendeza kwa nini usimpendezee mme wako nyumbani,hata ukitembea uchi nyumbani mbele ya mmeo ni halali wala hakuna dhambi,na ukitoka hifadhi maumbile yako yasitamanishe wanaume huko mitaani,kwa sababu hayo maumbile ni ya mumeo,unakuta mwanamke kava dera na chupi hakuvaa,angalia anavyotingisha BUNYO tena akiona wanaume ndio anazidisha,nguo yake kama wavu,yaani unaona mpaka style alivonyoa mavuzi,je ni haki hiyo?
 
  • Thanks
Reactions: irk
Bahati mbaya zaidi hayo maradhi na aibu zinamfikia hadi yule mke ambaye anaambiwa kuwa men kucheat ni nature yao, so hana ya kujali chochote mumewe anachofanya nje, yeye atulie tu ndoani [emoji27] [emoji27]
Laana tunazobeba zinawaathiri wengi, hasa waliobeba damu zetu na walioamua kuishi na sisi. "Nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hadi kizazi cha tatu na cha nne chai wanichukiao".
 
Watoto walio lelewa bila baba wanajulikana tu
 
huyo mwanamke ametudhalilisha sana ,sio wote wajinga na wavivu kitandani. Hata hivyo tunawapenda wake zetu na kuchepuka sio dili,!!!!!
 
Na ni lazima baadhi yetu tutamani wanawake tofauti tofauti na hatukinai,sababu nyie wanawake sasa hivi mnachochea ngono bila kutuhurumia,mfano mnavaa uchi uchi na mnapendeza kupita maelezo,sasa mwanaume ambae hatamani basi ujue ana tatizo,hivi mnavyo jianika hivyo kuachia maumbile yenu tena nyeti waziwazi huwa mnadhamiria nini?,kama umeolewa sasa unamuonesha nani? kama si wanaume wengine?,kama kupendeza kwa nini usimpendezee mme wako nyumbani,hata ukitembea uchi nyumbani mbele ya mmeo ni halali wala hakuna dhambi,na ukitoka hifadhi maumbile yako yasitamanishe wanaume huko mitaani,kwa sababu hayo maumbile ni ya mumeo,unakuta mwanamke kava dera na chupi hakuvaa,angalia anavyotingisha BUNYO tena akiona wanaume ndio anazidisha,nguo yake kama wavu,yaani unaona mpaka style alivonyoa mavuzi,je ni haki hiyo?
Whatever the reason, cheating is a "CHOICE". Ukitaka kucheat utacheat tu, na usipotaka kucheat hautocheat period.
 
Jaman mimi siungi mkono tabia yetu ya uchepukaji ila naweza kusema ukiweza jaribu kupunguz au kuacha kuchepuka.....!Sis wa Me saa ingine tunatia aibu yaan utakuta umewinda siku ...wiki....mwezi...hata miezi..siku ukiibahatika kuruhusiwa unakuta ni cha nusu dakika na usingizi juuu....Unamuacha mtu hajakunika vizuri....!Baadae ndo tunapostiwa humu JF Kama iv...!Tujaribu kutafuta wanaoweza kutuvumilia katika mapungufu yetu siyo huku kwa kutangazwa hum jamani..
 
Well, hizo habari sio za kweli. Mwananchi ndio waliandika lakini serikali imekanusha. Lakini uzinzi matunda yake ni aibu na maradhi, huna sababu ya kulala ovyo huku umeacha mke nyumbani...
Nafurahi kusikia Serikali imekanusha,na pia wewe unasema ni matunda ya uzinifu,ni kweli hilo halina ubishi,lakini kumbuka binadamu atakuwa binadamu tu,ndio maana ikaumbwa pepo na jehanamu,na alieziumba na kutuumba alijua kuwa binadamu wote sio sawa na tuna udhaifu tulioumbwa nao au vipi?na yeye MUUMBA ndio hakimu,na wala sio sisi Binadamu,kwa hiyo kama mtu ameathirika sisi hatuna haki kumuhukumu,labda kumkumbusha tena kwamba hayo ndio matokeo aliyojitakia,na kumuhurumia na pia sisi kujihadhari zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom