Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Kila mwanaume anaechepuka anasababu zinazomfanya afanye hivyo.(1) Kuna kero za mkewe, mwanaume ukifika nyumbani kelele mingi au kiburi au kutojaliwa. (2)Wanawake wengine kabla hawajaolewa wanamahaba mazito ila wakishafika ndani wamemaliza shida yao.(3) Mabadiliko ya maumbo ya wanawake baada ya kuwa na watoto pamoja na kutokujijali tena kama awali ktk usafi.(4)Mapungufu kitandani kwa kisingizio cha kuchoshwa na kazi za kutwa iwe ofisini au nyumbani. (5)Mke/mama watoto kumnyonyesha dyudyu au kutigolaizi ni kazi ngumu hata ktk vitabu vya Mungu ila huduma hii wanaipata nje kwa hao dada wa saluni.
 
Sijaona kosa la hao wanaume je kutowaridhisha wanawake,kutoka nje ya ndoa au yote kwa pamoja?.Kimsingi unatakiwe uitafute furaha yako ipo wapi...kama raha yao ni kupiga kimoja...tatizo lipo wapi?
Waambie hao wanawake sasa hivi raha tunajipa wenyewe kwasababu tuna michepuko mingi sana.
 
Hahahaaa! you hv a long way to go, sababu pekee ya kuchepuka ni umalaya tu, walaaa usitafute justification.

Kila mwanaume anaechepuka anasababu zinazomfanya afanye hivyo.(1) Kuna kero za mkewe, mwanaume ukifika nyumbani kelele mingi au kiburi au kutojaliwa. (2)Wanawake wengine kabla hawajaolewa wanamahaba mazito ila wakishafika ndani wamemaliza shida yao.(3) Mabadiliko ya maumbo ya wanawake baada ya kuwa na watoto pamoja na kutokujijali tena kama awali ktk usafi.(4)Mapungufu kitandani kwa kisingizio cha kuchoshwa na kazi za kutwa iwe ofisini au nyumbani. (5)Mke/mama watoto kumnyonyesha dyudyu au kutigolaizi ni kazi ngumu hata ktk vitabu vya Mungu ila huduma hii wanaipata nje kwa hao dada wa saluni.
 
You nailed it.

Naona watu wanaendekeza uzinz; washajiwekea kuwa haiwezekan kuwa na mwanamke mmoja.

Na wakati inawezekana kabisa; wanasahau kutengeneza wake zao ili wafanane na hao.

Watu tunakosa mawasiliano mazuri; mwambie mwenza napenda uanze kuvaa mavaz haya najua utakua mzur zaid; au nataka kila siku unifanyie hichi sababu napenda na ndio furaha yangu.

Nani hatak kumfurahisha mume/ mke wake? Aisee kwa gharama yeyote ile mtu atafanya sababu anakupenda.

Akiwa hajui kutembea kama hao wa nje mfundishe; au mtafutie mahal akafundishwe.

Kila kitu kinatengenezwa na vingine vipo naturally.

As long as hivyo vitu haviend kinyume na Mungu muelekeze.

* thnx bro kwa kuongeza kuwa tumeumbwa kuwa na mke mmojana mume mmoja.

* hawajui if ni dhambi.
Dhambi ni tamu sana shida yake mwisho wake ni majuto na kifo. Na huna aman ndan yake unawaza kukamatwa tu

* kutokutenda dhambi hakuna majuto wala was was wa kukamatwa una kuwa huru; na unakuwa na uhakika na Mungu wako
 
Hii ya umalaya ni maoni yako na hayo uliyoyasoma ni yangu, Umalaya hauwezi kuwa alfa na omega atoto
 
pathetic in deed!!

Kwa nini mimi nilaumiwe kwa makosa ya mtu mwingine? Anayecheat ni ameamua kwa utashi wake period. Yani muda wote mpo "attention" kusubiri mke akosee tu mpate excuse ya kucheat. At the end of the day, cheating is a choice. "Some people will cheat no matter how good it is, and others will never cheat no matter how bad it is". Cheating ndo solution ya mapungufu ya mkeo? Pathetic.....
 
Kama Mimi Nina uwezo wa kupiga tatu bila kushuka unanishauri nini juu ya hili, Niko 37 sasa
 
Nahicho hicho kimoja ca. Nusu. Dakika kinaweza mpa ukimwi uyo malaya
 
Habari wanajamii,

Naomba niongee nanyi waume zetu jamani, hebu tulieni na wake zenu maana cha zaidi mnachokitafuta ni aibu na magonjwa.

Nikiwa saloon (kama mnavyojua mambo ya saloon) wadada wakawa wakiongea, mmoja anatembea na mume wa mtu akasema "yaani yule boya nataka hela zake tu,kitandani hana kitu kabisa,yaani kimoja tu tena cha nusu dakika yuko hoi,ananichafuaga tu na ule mtumbo wake anajiburuza tu kama nyoka. Namuonea huruma mkewe maana alivyo mzuri, bora mimi nina jamaa yangu wa kunikuna,sasa mkewe sijui anafanyaje masikini"

Wakacheka wote kwa mkupuo na kuendelea kuwaongelea wanaume in general na wakitoa shuhuda zao za vituko wanavyokutana navyo.Sio siri nilijikuta naumia nafsi kama ndio mimi vile,nikawaza hiyo aibu.

Hivi mnajijua uwezo hamna,ni nini sasa mnachokitafuta?
Au ni kwamba hamyajui hayo madhaifu yenu,au mnataka nanyi muonekane vidume? au...... au...... najikuta tu nabaki na au au.

Na wanawake wenzangu tujitahidi kwenye masuala ya maakuli na kuwashauri mazoezi,tusiruhusu hivyo vitambi vyao, mume wangu nimemtengenezea kabisa routine ya kula na bahati nzuri hapendi kitambi so na mazoezi anafanya japo mvivu sometimes, so huwa namsisitiza sana kuhusu mazoezi na ikiwezekana tunafanya wote.

Nanyi wanaume hebu mfunge zipu,majaribu yapo ila mshindeni shetani myashinde.

Asubuhi njema wapendwa.
Naam
 
Back
Top Bottom