Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Waume zetu mtulie, mnatuaibisha

Tena mademu ndio mabingwa wa kuchepuka,coz akitamani simu mpya na uwezo hana basi ngoma nje nje,ila sio wote ni baadhi tu,lakini siwalaumu kwa sababu kwa nini ukonde kwa mawazo hali ya kuwa kuna watu wako tayari kukuhudumia kiroho safi?
 
Kwenye vitambi wengi wana shida[/QUOTE]
Vitambi mali kwa ile ya reverse cow girl style,yaani anakuwa kama kaka juu ya farasi stallion au vipi,zile balls zina act kama dildo kule kwenye tigo
 
Habari wanajamii,

Naomba niongee nanyi waume zetu jamani, hebu tulieni na wake zenu maana cha zaidi mnachokitafuta ni aibu na magonjwa.

Nikiwa saloon (kama mnavyojua mambo ya saloon) wadada wakawa wakiongea, mmoja anatembea na mume wa mtu akasema "yaani yule boya nataka hela zake tu,kitandani hana kitu kabisa,yaani kimoja tu tena cha nusu dakika yuko hoi,ananichafuaga tu na ule mtumbo wake anajiburuza tu kama nyoka. Namuonea huruma mkewe maana alivyo mzuri, bora mimi nina jamaa yangu wa kunikuna,sasa mkewe sijui anafanyaje masikini"

Wakacheka wote kwa mkupuo na kuendelea kuwaongelea wanaume in general na wakitoa shuhuda zao za vituko wanavyokutana navyo.Sio siri nilijikuta naumia nafsi kama ndio mimi vile,nikawaza hiyo aibu.

Hivi mnajijua uwezo hamna,ni nini sasa mnachokitafuta?
Au ni kwamba hamyajui hayo madhaifu yenu,au mnataka nanyi muonekane vidume? au...... au...... najikuta tu nabaki na au au.

Na wanawake wenzangu tujitahidi kwenye masuala ya maakuli na kuwashauri mazoezi,tusiruhusu hivyo vitambi vyao, mume wangu nimemtengenezea kabisa routine ya kula na bahati nzuri hapendi kitambi so na mazoezi anafanya japo mvivu sometimes, so huwa namsisitiza sana kuhusu mazoezi na ikiwezekana tunafanya wote.

Nanyi wanaume hebu mfunge zipu,majaribu yapo ila mshindeni shetani myashinde.

Asubuhi njema wapendwa.
kweli wanawatia aibu wake zao. Tena team vimbilimbi ndo wachepukaji wakubwa nadhan wanajaribu kujiongezea sifa au wajisikie normal...
 
Mbona husemi bahati mbaya zaidi hayo maradhi zinamfikia hadi yule mume,kwani nyie hamna mambo ya kuchepuka?,tena nyie ndo balaa sana sababu mnatafuta peasa kwa nguvu ili muende na wakati na mashindano yenu ya fashion kama watoto wa chekechea.
uzi unaongelea wanaume. Siku ukianzishwa wa wanawake ntasema pia
 
kwa maongezi yako. Sisiti kukuita Mkwe Mwema, na Mungu Akubariki Sana Endelea na upendo uo uo kwa mume wako na jitunze nafsi yako na mwili wako kwa Mume wako.

Lakini pia nina neno 1 kwenu wake zetu, punguzeni midomo mirefu.

Maandiko matakatifu yanasema mwanamke ******** uivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Asilimia kubwa ya tatizo la wanaume wengi kutoka nje ya ndoa zao yanatokana na udhaifu wa wenza wao.

Siyo wanaume wengi wana uwezo wa kuvumilia na kurekebishana kwa hekima.

Malaya siku zote utumia madhaifu ya wake za wafataji.

Asilimia kubwa ya wanawake wanadhani kitandani ndiyo suluhisho la kujenga ndoa zao hivyo wanajikuta wanaegemea eneo 1 na kuwa dhaifu katika maeneo mengine.

Naomba niyataje maeneo machache Ambayo ndiyo kaburi la Ndoa nyingi.

1: Upendo
2: Adabu
3: Utii
4: Lugha
5: kujali
6: Hekima

kama wewe ni Mwanamke ukiyafuata hayo mambo 6 hakika utakuwa na furaha siku zote katika ndoa yako, na Mume wako hatakuwa na muda na wanawake wengine.
Kwa nini mimi nilaumiwe kwa makosa ya mtu mwingine? Anayecheat ni ameamua kwa utashi wake period. Yani muda wote mpo "attention" kusubiri mke akosee tu mpate excuse ya kucheat. At the end of the day, cheating is a choice. "Some people will cheat no matter how good it is, and others will never cheat no matter how bad it is". Cheating ndo solution ya mapungufu ya mkeo? Pathetic.....
 
Hiyo ni akili ya Abunuasi,watu tunagonga nyumbani mpaka wife anasema basi nimekoma,na hataki tena wiki nzima,mpaka anatoa ruhusa kwa ridhaa kabisa na ananiambia baby nakuruhusu tafuta mchepuko uwe unapunguzia charge kwake ili ukija nyumbani usiniumize,CHEZEA KICHURI WEWE?(SASA UNAINGIA MKOA WA MARA),na ndio sababu tunaoa wake 26.
GottoloveU skia hii
 
Kuwa na mchepuko mmoja siyo tatizo, tatizo litakuja pale ukiwa na michepuko mingi.
 
Wanaume wote au wa Dar ?? Ebu tuanzie hapo.
 
Umerudi tena....tulikumiss....aisee

Ungewakanya hao wadada wa watulie na wanaume zao wache kuwakubali/ kuparamia waume za watu. Nadhan ungefanya vema zaid
Hahaaaa huyu nyakoo anajuaga kutupa madongo kweli, hata dada atoto anamjua
 
Mie niliwakuta wanawake saluni pale Shinyanga, wanapeana maujuzi namna ya kumfanya mwanamme awe anasimamisha akiwa kwako tu na akienda kwa mkewe haisimami: walisema kuwa unachukua mdudu nge unachanganya na mapumbu ya mbuzi unasaga pamoja unamuwekea kwenye chakula, nyingine unafunga kifundo unaweka chini ya mto na chini ya mtungi yaani hapo unakuwa umemaliza kila kitu, itakuwa inasimama akija kwako tu shost kwa mkewe haisimami: USHAURI WANGU WANAUME KUWENI MAKINI NA HIZO NYUMBA NDOGO MNAFANYIWA MAMBO MENGI YA UCHAFU NA YA AJABU SANA
naungana na mtoa post
Uhiiiiiii. Aiseeee
 
Yan lait tungekuwa mtu umeoa tu au kuolewa huwez tena kufunction na mwingine zaid ya yule uliyekula naye viapo aiseee ingekua pouwa.


Hiz aibu zingeishia ndani tu. My mumy used to tel me wanaume wazuri hawaish; jitahid kuwa na mtu sahihi na macho yako yatafumbwa.

Eeh Mungu linda ndoa zetu
 
Mkuu naona umetumia nguvu nying saana kutetea uchepukaji.... Daaah asili yetu ni mume na mke mmoja Adam na hawa. Hakuna mahali ambapo Adam alitaman mke mwingine.

Ukiendekeza tamaa lazima tuu utaona kawaida,
Naona watu wanaendekeza uzinz; washajiwekea kuwa haiwezekan kuwa na mwanamke mmoja.

Na wakati inawezekana kabisa; wanasahau kutengeneza wake zao ili wafanane na hao.

Watu tunakosa mawasiliano mazuri; mwambie mwenza napenda uanze kuvaa mavaz haya najua utakua mzur zaid; au nataka kila siku unifanyie hichi sababu napenda na ndio furaha yangu.

Nani hatak kumfurahisha mume/ mke wake? Aisee kwa gharama yeyote ile mtu atafanya sababu anakupenda.

Akiwa hajui kutembea kama hao wa nje mfundishe; au mtafutie mahal akafundishwe.

Kila kitu kinatengenezwa na vingine vipo naturally.

As long as hivyo vitu haviend kinyume na Mungu muelekeze.

* thnx bro kwa kuongeza kuwa tumeumbwa kuwa na mke mmojana mume mmoja.

* hawajui if ni dhambi.
Dhambi ni tamu sana shida yake mwisho wake ni majuto na kifo. Na huna aman ndan yake unawaza kukamatwa tu

* kutokutenda dhambi hakuna majuto wala was was wa kukamatwa una kuwa huru; na unakuwa na uhakika na Mungu wako
 
Habari wanajamii,

Naomba niongee nanyi waume zetu jamani, hebu tulieni na wake zenu maana cha zaidi mnachokitafuta ni aibu na magonjwa.

Nikiwa saloon (kama mnavyojua mambo ya saloon) wadada wakawa wakiongea, mmoja anatembea na mume wa mtu akasema "yaani yule boya nataka hela zake tu,kitandani hana kitu kabisa,yaani kimoja tu tena cha nusu dakika yuko hoi,ananichafuaga tu na ule mtumbo wake anajiburuza tu kama nyoka. Namuonea huruma mkewe maana alivyo mzuri, bora mimi nina jamaa yangu wa kunikuna,sasa mkewe sijui anafanyaje masikini"

Wakacheka wote kwa mkupuo na kuendelea kuwaongelea wanaume in general na wakitoa shuhuda zao za vituko wanavyokutana navyo.Sio siri nilijikuta naumia nafsi kama ndio mimi vile,nikawaza hiyo aibu.

Hivi mnajijua uwezo hamna,ni nini sasa mnachokitafuta?
Au ni kwamba hamyajui hayo madhaifu yenu,au mnataka nanyi muonekane vidume? au...... au...... najikuta tu nabaki na au au.

Na wanawake wenzangu tujitahidi kwenye masuala ya maakuli na kuwashauri mazoezi,tusiruhusu hivyo vitambi vyao, mume wangu nimemtengenezea kabisa routine ya kula na bahati nzuri hapendi kitambi so na mazoezi anafanya japo mvivu sometimes, so huwa namsisitiza sana kuhusu mazoezi na ikiwezekana tunafanya wote.

Nanyi wanaume hebu mfunge zipu,majaribu yapo ila mshindeni shetani myashinde.

Asubuhi njema wapendwa.
Na nyie,salon za kiume na kwe vijiwe huwa mnasemwa mnavogeuzwa geuzwa yani ni aibu tupu,
Kizazi kimeisha,la msingi sote tutulie na wetu tu michepuko soo
 
Back
Top Bottom