Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Sauti ya manka ishakufa sasa ana higer ndio zaenda huko
 
Mjomba unajua hio engine ya cummins watu wanaichukulia poa sana ila huyo ni mmarekani halisi hizo engine zipo kwenye magenerator makubwa i.e FGwilson, hata engine za meli zingine ni Cummins Service Kit zake ime Major Service Kit zinafika USD 15,000
upo sahihi. hata boat ya bakheresa kilimanjaro seven inatumia engine ya cummins.

bus aina ya higer, zinatumia engine ya cummins.
 
Katoka leo anaenda Tunduma apo 11:21 out kashatoka aljazeera toka Dar bado anayaswaga mabehewa ya Sauli


Acha kbsa L360 Cummins
hii 95 F310 (Sauli) hawezi kufata huu moto

Siku ya 6 hii leo wanavutwa tokea Dar to uyole mbeya


Asa Mkuu kuna ile ya ostadhi Rama 711
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…