Wauaji wa Maalbino Malawi wachomwa moto (picha sio nzuri kuziangalia kama una moyo mwepesi)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
mikono ya Albino.jpg
wauaji wa Albino.jpg


Picha sio nzuri sana!!

Pichani chini watu waliochomwa moto nchini malawi mara baada ya kukutwa na viungo vya albino picha ya kwanza! Miili yao ikiwa imepakiwa ndani ya gari la polisi wakipelekwa mochwari,,

Jamani tuache imani potofu hii ni laana kuua mtu kwa imani ya kupata utajiri ni ujinga uliopitiliza!!
 
Back
Top Bottom