Mashabiki ambao ni wananchi wametoka kumuona messi ambae ni magu, sasa timu imetafuta mchezaji mbaye ata cover nafasi ya messi amepatikana yamal (ssh). Sasa huyu Yamal sio mbaya lakini mashabiki/wananchi kila wakijaribu ku compare hawa wachezaji hawamuelewi Yamal. Kwa kifupi kivuli cha messi bado kinatawala kwenye timu hii.