hizo "facts" about kenyans mbona hazizungumzii umasikini uliokithiri kwenye slums za kibera na mathare? mbona hizo facts hazizungumzii unyan'gau wa wakenya. hebu lete hizo facts kwanza, usizifiche. Koba hujui kwamba msema kweli ni kipenzi cha Mungu?haha ahaha ahaaa....kwa wale ant EAC and Kenyans hater hii topic ni kama gold mine in the sky,ila let me give some facts about EAC & kenyans...
haha ahaha ahaaa....kwa wale ant EAC and Kenyans hater hii topic ni kama gold mine in the sky,ila let me give some facts about EAC & kenyans
1)According to data from Bank of Tanzania Kenya is your largest trading partner,like or not lakini you depend one another kwa kiasi kikubwa sana,na latest data zinaonyesha Tanzania wana export more to kenya kuliko wanavyo import(net exporter),wengine mko busy bashing Kenyans lakini hamjui kazi zenu zinategemea uhusiano mzuri btn the two,hao chinese,British or South Africans combined hawafikii the exchange btn Kenya & Tanzania
2)Kenya firms are leading investors in Tanzania,hao chinese,south Africans etc they are not even close
3)EAC ipo na itaendelea kuwepo na hakuna land crisis na hakuna mtu anataka free land through EAC,land laws & policies zote zitabaki ndani ya nchi husika,mkiona kina Ching chong au kenyatta wana miliki 10000 acres dont blame EAC ni sheria zenu wenyewe pale dodoma ndio zinaruhusu hiyo
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Bwana mkenya kwa hiyo unataka kutuambia kwamba umesaidiwa na mtu asiekupenda sio?huyu ndio kanisaidia kukaa tz,mbona wenyewe waitaji manpower from kenya lakini wengine wakataa hiyo sio nzuri
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Lakini mbona wasichana wabongo wananipenda tu, mbona ndugu na rafiki zangu wakija bongo inakuwa rahisi sana kwao kupata wasichana wazuri wakuwakaribisha TZ.. kama ni kweli mnatuchukia hivyo, singekuwa nimeoa msichana mpare tena professional kama bibi wa pili. wabongo banahatupendi wauza sura,mnajiona mnajua kila kitu mjajidai nyie mnajua kila principle hamna lolote
i like guys from uganda,rwanda, burundi heri nichukue na mkimbizi wa somalia kuliko liuza sura la kenya kula miraa huko ulale