Mkuuacheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
acheni ubaguzi,nilikuwa tz last week watanzania wengi wanaonyesha hawatupendi wakenya,lakini wakenya wanasaidia kazi za kitaalam tanzania ambazo watz hawaziwezi kutokana na low eduction
tupendane dunia imebadilika sana
nashangaa sana nilikutana na demu mmoja nikajaribu kuongea naye alivyojua mimi mkenya aliondoka ghafla,inaonekana watz wengi ni wajinga sana na hawajasoma,lets change guys
Mkuu
1. Wakenya nyinyi ndo dhambi ya ubaguzi inawatafuna na ushahidi ni jinsi mlivyomalizana katika election iliyopita kwa kubaguana makabila
2.Kielimu hakuna mlichotuzidi zaidi ya lugha ya malkia.taaluma nyingi tz wapo fresh nawapa max kwenye ujasiriamali mmepiga hatua lakini nasi tunakuja
3.Tunawapenda sana ndo maana mmejaa kwetu mkifanya kazi bila hata permit na vipande vya uhamiaji
4.Huyo demu alikukimbia kwa kuwa anjua wakenya wengi hamtahiri na mnachambia karatasi
ALIYESOMA ASINGETUANDIKIA MATUSI HAYO>ASANTE
mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
Uwezo wa kuongea 'sheng'?mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
wasikimbiwe waingereza wenyewe ije kuwa mluya weye! Phfewww; disgusting!
wasikimbiwe waingereza wenyewe ije kuwa mluya weye! Phfewww; disgusting!
Inkoskaz ameshakujibu kwamba "huyo demu alikukimbia kwa kuwa anjua wakenya wengi hamtahiri na mnachambia karatasi ", sasa mbona hutaki kuridhika na jibu? Eti "mimi nilishangaa sana..." Ulishangaa nini, mbona wewe bado una akili za kikoloni? Amka!mimi nilishangaa sana demu kunikimbia kwa sababu niliongea neno moja kwa english,mbona mnakuwa wakali,kubalini nyie uwezo wenu ni kadogo sana kulinganisha na wetu
Wakenya mi nawapenda saana ila tatizo lao ni moja tu la kutaka kujifanya wapo juu kuliko wengine, na kama wewe ndugu umefuta japo ujinga tu usingeweza kuandika vitu kama hvyo humu, it might be true what you a saying about as but we are the best in East Africa Sir. pia hamjabahatika kuwa na sura nzuri kiukweli hlo kubali kama muungwana, I have a friend of mine Kenyani she so agry lakini anajiona kama Ray-C, nyie mnatuweza kwa mbio tu na si vinginevyo ndugu.