Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,687
2,931
Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice.

Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita Wanyakyusa lakini ukiongea nao unakuta wana asili ya kitusi ni kama mababu zao walikuja siku nyingi.

Swali ni je jamii hii ya Watusi walifikaje Mbeya?

Hasa ukizingatia mbeya haiko mpakanani na rwanda
 
Nadhani ni katika suala zima la kuoleana maana nakumbuka mwaka nimetembelea Wilaya ya Kyela nulipokuwa naishi kulikuwa na jirani yetu Mjeshi mstaafu wa kinyaki familia yake ilikuwa na wajihi wa kinyaru. Nilipoendekea kuchunguza zaidi niligundua kuwa mama yao ni mnyarwanda.
wajihi ndo nn
 
Back
Top Bottom