Waturuki wanaojenga SGR

Wanaliwa vya kutosha, dawa ni kuungana na wale wanaowainamisha.
 
Nakazia hapa. Wabongo ni watu wa kulipua sana kazi tumeendekeza pesa mbele kuliko ubora wa kazi, wenzetu ubora ndo kila kitu
 
Wakati mwingine kuajiri watanzania inaweza kuwa ni changamoto kubwa sana. Tanzania ni nchi yangu na nawajua walivyo.

Wezi, wajanja wajanja, wavivu, wanapenda mkato... maneno na excuses kibao.
Hiyo ni kweli kabisa. Yaani creativity, innovation yote ipo kwenye namna ya kuiba.
Kama watu wangetumia akili vizuri with ethics miaka 60 ya uhuru tungekuwa mbali sana. Waangalie Korea Kusini, Vietnam wamejitransform from dependent to donor country
 
Tatizo wabongo wamezidi wizi, ukiangalia miradi mikubwa inayojengwa yaani wabongo wanaiba hovyo Sana wakati miradi ni kwa manufaa yetu.

Mafuta wanaiba, vyuma vya Kila aina wanabeba, saruji wanabeba kokoto hadi mchanga
Sio sababu ya kumpiga ..acha kutetea ujinga
 
Hao waturuki ni mijitu ya hovyo sana ubaguzi ni mkubwa sana bahati mbaya magu amedondoka wanajua hawawezi kufanywa kitu
 
Wana ubia na serikali
Hata uwaseme vipi hakuna wa kuwasaidia Watanzania kwenye hili.

Hapo mkitaka hatua zichukuliwe fanyeni tukio litakalosababisha gumzo kwenye media ndo mtaona viongozi mpaka Bungeni wataongea kama chiriku vile.

Nchi hii ina mengi ya hovyo na wanayajua ila siyo vipaumbele vyao.

Wanatumia Amani kujinufaisha binafsi
 
Hiyo ni kweli kabisa. Yaani creativity, innovation yote ipo kwenye namna ya kuiba.
Kama watu wangetumia akili vizuri with ethics miaka 60 ya uhuru tungekuwa mbali sana. Waangalie Korea Kusini, Vietnam wamejitransform from dependent to donor country
Huu ujinga wa kuiba umeanza kwa viongoz
Sio wazalendo kabsaa
Mwananchi nae anaona ni haki na yeye kuiba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuongelee wizi kwenye huo mradi
 
Hiyo shida ya mji kugawanywa sehemu mbili zenye shida ya kuwasiliana ni kubwa pia Kilosa.
 
Watanganyika mnatia huruma Sana unashindwa nini kumpiga mpuuzi
 
Wabongo bila nginja nginja hamuenda mnapenda uwizi na majungu tu ndio mnachoweza akiwachekea tu imekula kwake.......Mturuki kaza buti.
 
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Una uhakika na unalolisema mbona limekaa kimajungu?

Kama hakuajiriwa kazi ya udereva hakutakiwa kuligusa bila ya ruhusa ya bosi wake. Mfano angepata ajali angesema nini?
 
Sisi wabongo tunapenda vitu easy easy sana,hatupendi kufuata utaratibu, kuna camp yao moja niliona dereva wao walimgomea kuweka mafuta kisa alisahau driving licence home, wakabadili dereva.
ujamaa umetuharibu. Hatuwezi kufanya kazi kwa kufuata sheria za kimataifa, sisi tunataka kila kitu laini laini.
 
afadhali umetupa upande wa pili wa hii stori
 
Kwani Kibanga aliendaga wapi baada ya kumpiga mkoloni?angetusaidia kupambana na waturuki
 
Heshimu taratibu za ajira, unapotumia gari unakuwa umezungukwa na watu wengi ndiyo sababu hukatiwa bima na lolote litakalotokea mwenye gari huwajibika. Alifukuzwa kazi kwa kujipa jukumu bila ya mwenye mali kumruhusu, kumbuka gari hilo si mali ya aliyeugua.
 
Understanding! Sio undeground tunnel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…