Waturuki wanaojenga SGR

Waturuki wanaojenga SGR

Joined
Dec 22, 2016
Posts
34
Reaction score
16
Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania.

Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.

Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
 
Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Pole sana kiongozi
naomba nichangie hiyo sehemu ya mwisho;
Naomba kujua kama aliyemsaidia Dereva alikuwa na leseni RASMI ya kuendesha gari husika kwani hicho ni kigezo muhimu sana kwa ajili ya Bima kama gari litapata shida.
Isijekuwa amesaidia kuendesha lori la Milioni 700 huku hana leseni....
 
Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Sio wakatili ni nyie ndio hamjui haki zenu na uoga wa maisha ilitakiwa mnatoa mfano kwa mmoja tu wangeambizana chap kwamba huku tulipo ni pamoto na wangewaheshimu..

Unakuwaje mnyonge nchi uliyozaliwa je ukienda huko nje si ndo utashikwa na tarcccooo kabisa..
 
Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Wakati mwingine kuajiri watanzania inaweza kuwa ni changamoto kubwa sana. Tanzania ni nchi yangu na nawajua walivyo.

Wezi, wajanja wajanja, wavivu, wanapenda mkato... maneno na excuses kibao.
 
Kiukweli baada ya uvumilivu wa Muda mrefu nimeona bora kusema tu kweli kuhusu hawa waturuki wanaojenga SGR, sitaki kubase sana kwenye efficiency yao ya kazi ila nataka niweke wazi kwenye swala la socialization na sisi watanzania . Wamekua ni watu wakatili na wakorofi sana inapokuja kwenye swala la haki ya mfanyakazi wanawapiga ndugu zetu site bila sababu na endapo ukajaribu kujibu mashambulizi wanakufukuza kazi.
Hivi majuzi nimeshuhudia mtu amefukuzwa kisa tu amekutwa amemsaidia dereva gari baada ya dereva kuumwa ghafla wakiwa site .
Hata hivyo walimsaidia kama bado yupo kazini huyo jamaa yako, kawaida pahala popote kiwandani si ruhusa kuendesha mtambo wowote bila kibali cha kuendesha huo mtambo adhabu yake ni kufukuzwa kazi bila mashauriano yoyote na kama na huyo Dereva alimruhusu huyo jamaa yako wote lazima waondoke.
 
Wakati mwingine kuajiri watanzania inaweza kuwa ni changamoto kubwa sana. Tanzania ni nchi yangu na nawajua walivyo. Wezi, wajanja wajanja, wavivu, wanapenda mkato... maneno na excuses kibao.
Na ufanyaji kazi kazi zisizo na ubora anataka alipue kazi tu alipwe chake asepee ,ss wanapokutna na waturuki kwenye kila ktu wamenyooka bac mbongo akielekezwa anaona anaongeaa ,mm npo kwenye mradi huu toka 2021 mwezi wa nne ,nilichojufunza kwa wenzetu n watu wamenyookaa na ukikaa nao vzr utajifunzaa mengi na watakujali sanaaa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena kumpa mwenzako gari bila ruhusa, unampa kienyeji tu tena gari la mamilioni la mradi mkubwa kama SGR inatakiwa ufukuzwe haraka na viboko vikali sana ukahadithie ndugu zako ili ujue maana ya thamani ya kile unachoendesha.

Watanzania mnafanya uzembe, uvivu, wezi na visingizio vingi sana, kufanya kazi kwa bidii, maarifa na uaminifu ni wachcahe sana, yaani gari la mamilioni kisa unaumwa unaamua kumpa mwenzako tu kienyeji? Nyoko kabisa na ww mleta mada
 
Tatizo wabongo wamezidi wizi, ukiangalia miradi mikubwa inayojengwa yaani wabongo wanaiba hovyo Sana wakati miradi ni kwa manufaa yetu.

Mafuta wanaiba, vyuma vya Kila aina wanabeba, saruji wanabeba kokoto hadi mchanga
Hawaibi wanachukua kilicho halali kwao. Umejiuliza hao waliopewa miradi wamepewa kifisadi na mafisadi kupitia kodi zetu. Sasa wakichukua walau kidogo ni kama wameshare. Mnalaamu sana vidagaa.
 
UISLAMU +UARABU = UKATILI.

Ndugu zetu wanateseka sana Uarabuni.

Hawa watu ni MAKATILI SANA.
 
Sema wamewanyima wakaazi wa Dar haki ya kuwasiliana pande mbili KWA kuwatenganisha na uzio
 
Sema SGR wanawanyima wakaazi pande mbili za reli haki ya kuwasiliana kwa kuwatenganishia na uzio bila kuwawekea understanding tunnel yaani makaravati ya kuvukia chini ya reli. Kama walivyowawekea wanyama wa porini na mifugo makaravati ya kuvukia chini ya reli. KWA sababu wao wanakaa masaki na osterbay hayawahusu. Kuna shule, masoko, stand za daladala, nyumba za ibada na shughuli mbalimbali za kijamii, hivi vinalazimisha wakaazi wa pande zote mbili kuingiliana SAsa kuwawekea uzio wasiwasiliane ni kinyume na haki za binadamu.
 
Back
Top Bottom