Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,117
Watumwa wengi kutoka Tanganyika na Afrika Mashariki walipelekwa Uarabuni na Afrika Magharibi walipelekwa Marekani kusini na kazkazini kama mnavyoona hapa chini
Indian Ocean means tulipelekwa Uarabuni au Persia na IndiaHao watanzania walipelekwa nchi gani?
Imesena infian ocen labda tulitupwa baharini. Uarabuni hakuna hata masalia ya ndugu zetu.Indian Ocean means tulipelekwa Uarabuni au Persia na India