Watumishi wasiopenda ilani ya CCM waondoke

Watumishi wasiopenda ilani ya CCM waondoke

Huyu waziri anataka kutulisha ujinga na uongo. Mimi nilisoma O- level Mwembeni sec ni ya shirika la Montfort ambalo liko chini ya Roman Catholic but wanafunzi ambao sio wa dhehebu la Roman Catholic hatukuwahi kulazimishwa kwenda ibadani. Huyu waziri ni taahira na ni mpumbavu wa haya mambo asipende kuwalazimisha watumishi wa umma kuipenda CCM .
Mkuu umeongea KWA uchungu Sana, hatuwezi songa mbele KWA ujinga Kama huu, eti ilani ya chama so ilani ya chama ndo imekua sheria za nchi na katiba ya nchi? Ni punguani tu wa kusema haya, kwanza huyo alitakiwa kujiuliza nini maana ya chama,then hajiulize nini maana ya sheria za nchi ikiwemo katiba ya nchi, tuna mawazari wa hovyo haijawai tokea, that's jpm anapata tabu Sana, tuna watu so far ameteuliwa kuwa WAziri Basi tu anabwabwaja angalau tu kutunza nafasi yake Bila kujua hivi ni vyeo vya kidunia ,watakufa na nakuzikwa Kama binadam yote yule,ni TZ au nchi za kiafrika mtu kujiuzuru nafasi yake, yaonekana Kama mwiko kwake,alafu unasikia uzalendo,kumbe hata wasemao hawajui hata maana yake.
 
Nini watumishi wa Umma hadi ndugu wa damu wa wanasiasa wengi wanakipenda cha na manifesto yake kinafiki.
 
Kange aliwataka wakurugenzi watembee na ilani za Ccm aliondoka akawaacha.So sio sawa uyu Byabato ni mshamba.
 
Bila Katiba mpya tutaumizana
T-Shirt.jpg
 
Wafanyakazi hawakuajiriwa kwa ilani ta ccm. wana job description na mikataba ambayo wali sign.
hakuna mahali kwenye job decription waliandikiwa wafuate ilani.

wafanyakazi waendelee kufanya kazi kwa kufuata job decription na sheria za nchi
Bright!!!
Wewe na yeye wote nimewaelewa vzr - sikujua Aricado Ntagazwa angefia CDM - dunia huzunguka kwa kasi
 
Kwa sasa ni rahisi kufuata ilani ya ccm sababu upinzani haupo tena...
 
Back
Top Bottom