Watumishi walazimishwa kuchangia gharama za Mwenge.

Watumishi walazimishwa kuchangia gharama za Mwenge.

KURUNZI-1

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Katika baadhi ya halmashauri hapa nchini zimekuwa zikiwalazimisha watumish wake kuchangia gharama za mafuta ya mwenge. Wengine wamekuwa wakiwakata ktk mishahara yao kwa kila mwezi. Naombeni ufafanuz kwa anayejua, ni sheria kuwa watumish ndio wanachangia hela ya kuukimbiza mwenge ktk halmashaur zao? Km serikal haina fungu la mwenge si isitishe hilo zoez. Naomben mawazo wadau watz na waathirika wenzangu wa hili jambo.
 
Back
Top Bottom