B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,648
- 6,411
Inasikitisha raisi wa nchi anatetea wizi wa mali za umma. Hahaa hapa tuna kazi kwa kweli. Watumishi wa umma tuna waomba mzidishe kutoa ya sirini ili tuzidi kupata mwanga na mwangaza sisi watanganyika wa chini.
Nimesononeka na kuumia sana.
Kumbe Limama linabariki unyang'anyi bila aibu wala soni yeyote ile.
Nimeanza kuelewa zaidi kuwa ni lazima watanganyika tusimame kwa umoja tupambane na hawa wezi kwa namna yenye kuleta mpenyo wa kuwaondoa.
Kuna siri nyingi na mikataba mibaya sana kwa namna hii.
Nchi ina tafunwa live live.