pamiho
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 271
- 35
Habari za asubuhi?
Baada ya serikali kuyaomba michango mashirika yake ya Umma, yeye ameamua kuwalazimisha watumishi kuchangia (kwa kukatwa) posho zao kuanzia 20,000 na kuendelea ili aweze kupeleka kwa wahanga wa mafuriko.
Hali hii imezua maswali mengi sana miongoni mwa watumishshi hasa ukizingatia hali ya fedha ni tete sana hasa kwa vijana tunaofanya kazi ya muda ambao tunategemea posho tu kujikimu.
Wemgine tuna changamoto mbalimbali za kifamilia kama kuuguliwa na wazazi ambazo zinahitaji fedha, hili analolifanya kiongozi huyu binafsi limeniacha na majozi makubwa sana.
Kama hayo ni maelekezo ya serikali kutubebesha mzigo sisi watumishi basi tunaomba jambo hili liwekwe wazi ili tujue tunatakiwa kuililia serikali na siyo Mtendaji Mkuu.
Kuchangia maafa ni jambo jema sana, lakini inafaa kila mtu aridhie mwenyewe kufanya hivyo na siyo vinginevyo.