Tumeboreshewa sana maslahi kuanzia mishahara mpaka night allowance nadhani umejionea kuanzia mwezi July.tutamchaguwa magufuli.hapa kazi tu. Walimu waache kudanganya wanatoa taarifa za uwongo kuitia hasara serikali.
Wapi hapo pameandikwa tusilipe PAYE?Watu mnajadili mabadiliko ili tuwe na maendeleo
Lkn cha ajabu mnapanga kwamba msilipe kodi yani msitoe PAYE!! This is foolshit!! Unatakaje maendeleo huku hutaki kulipa kodi??? Lipeni kodi nyie vilaza wenzanguuu!!!
halafu tunataka tuone manufaa ya kodi zetu,sio kutulipisha mikodi na bado huduma hakuna,wakati tunaona wastage of resources,sasa mwenge wa kazi ganiWapi hapo pameandikwa tusilipe PAYE?
kodi ni kubwa sana ila sio tusilipe
Huo mwenge ushabaki kuwa mtaji tu, mwaka juzi kuna katibu tarafa alijipigia milioni kadhaahalafu tunataka tuone manufaa ya kodi zetu,sio kutulipisha mikodi na bado huduma hakuna,wakati tunaona wastage of resources,sasa mwenge wa kazi gani
CCM imeniongezea hasira kwamba siidai wakati naidai,
mtumishi wa UMMA ambaye hataki mabadiliko atakuwa katika familia za akina;
Chenge,
Tibaijuka,
Ngereja,
Kikwete,
Mkapa,
Mwinyi,
Mhongo,
nk.
mabadiliko NI LAZIMA.
LOWASSA
ROSTAM AZIZI
mbona unawatowa kwenye hiyo list asha kuwa msafi?
Na hapa ndio utofauti mkubwa ulipo, na hatuwezi kuungana kutetea maslah
we umeboreshewa night, mie mwalimu na night wapi na wapi?
Night allowance ni kwa watumishi wote wala haichaguwi.mbona mnapoenda kushiriki michezo au kwenye mitihani mnalipwa? Au unadhani ile siyo per diem?
Tutoe taarifa za uongo ili iwe nini kwa mfano
Wakaguzi ndio wamehakiki taarifa nyingi hazina ukweli.
Hata hao si wasafi ila Lowassa amesema mfumo ndo lilikuwa tatizo katika utekelezaji wa majukumu yake.