Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,974
- 168,951
Kwakweli hapo kwenye PAYE ni parefu mnooo
pamoja na mshahara kidunchu bado huo kidunchu serikali/wanasiasa wanautolea macho
mwishoni mwa mwaka jana tuliletewa agizo eti la mkuu wa mkoa
anataka walimu tutoe kila mtu elf 20 za kujenga maabara
tena tunaambiwa "ombi la mkubwa ni agizo" huu si u..... jamani?
leo kazi ya kujenga majengo ya shule ni ya walimu?makubwa haya
#mabadiliko