Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,754
Naona mnataka kumuuwa mkwere kwa pressureMungu tangulia mbele, watu waliishi as if wana hati miliki ya mali za uma huku wananchi maskini wakitekeseka kwa kukosa huduma muhimu n,k
Ah ah ah ahNaona mnataka kumuuwa mkwere kwa pressure
Hamna ya kunyongwa hawa watu. 1. Wafutwe kazi na anyang'anywe vyeti vyake vyote na kutangazwaMnaonaje wakinyongwa tu hao wahusika?
Itanyooka kwa wakubwa wenye ulinzi lkn kwa walala hoi kama kina MOTOCHINI, Lizaboni na wengine watakosa amani maana kila siku watakuwa wanachomwa na bisibisi na spoku kila kukichaHamna ya kunyongwa hawa watu. 1. Wafutwe kazi na anyang'anywe vyeti vyake vyote na kutangazwa
2. Afilisiwe na asiruhusiwe kuwa mwajiriwa sehemu yeyote. Nchi mbona itanyoka
katibaHamna ya kunyongwa hawa watu. 1. Wafutwe kazi na anyang'anywe vyeti vyake vyote na kutangazwa
2. Afilisiwe na asiruhusiwe kuwa mwajiriwa sehemu yeyote. Nchi mbona itanyoka
we upo nchi gani?kivipi? funguka