Watumishi hewa ndani ya Ikulu

Watumishi hewa ndani ya Ikulu

Magufuli atunguliwe na yeye mbona hajawataja na muda ndio huo
 
Uongozi wa awamu ya 3&4 ulikuwa kwenye usingizi zaidi ya ule wa pono!
Haya manoti yote yalikuwa yanaishia mifukoni mwa mafala wachache ndo maana wakatutukana sie malofa!
Magufuli jenga jela maalum kwajili ya hawa mabaladhuri wakahenyweshwe huko.

= mabaradhuli
 
Umenichekesha sana....huyo mtumishi unayetaka afutwe kazi na anyang'anye vyeti, ni yupi sasa? wakati umeshaambiwa ni hewa! Ukiambiwa mtumishi hewa, ujue hakuna mtu ni jina tu ndo lipo"
jf raha sana nimecheka kweli, yaani hewa anyanganywe vyeti sasa angekuwa na vyeti angeitwa hewa?
 
Ndio maana majuba yalikuwa yanaota kama uyoga;Mbezi Mikocheni,Bunju,Mbweni,Kinyerezi na ww ongezea...Kweli ukistaajabu ya Musa.......!
 
Ndio maana bei za kupanga Sinza,K'nyama,K'ndoni,Magomeni hazikamatiki!kote kumejaa nyumba ndogo za hawa jamaa kwa kiasi kikubwa hawaulizi bei ni kulipa tu!Mbona michepuko itarudi uswahilini kama sio kijijini hapa job tu!
 
Ndo maana majumba ya starehe yanaibuka kama uyoga na yote yanajaza full J'tatu mpaka J'tatu!
 
Ndio maana kumbi za harusi zimeshabukiwa mpaka mwakani!hiyo jeuri ya michango inatoka wapi?Hebu tuone trend kufikia mwakani haya niliyoyastaajabu kama yatakuwa vilevile au hali itakuwa mbaya zaidi!kwa vyovyote sitegemei trend itaenda juu labda jua lisimame au gongo iwe imeisha imebaki soda tu kwenye chupa!
 
Naona mnataka kumuuwa mkwere kwa pressure

Nazikumbuka zile familia zilizokuwa zimeshajitangaza kuwa Tanzania ni mali yao na hakuna wa kuwaambia kitu...akina marope e tal ...nilikuwa napata kichefuchefu naposikia majina yao...
 
Hakutumia weledi kama kiongozi kutoa majibu mepesi bila kufanya tafakuri ya kina hicho ndio kimemponza.

Huyu mama nilimtoa maana kwenye bunge maalumu la katiba....mama alibwatuka yule utadhani kichwa alikiacha Same..
 
Nchi ilikuwa haina rais kwa miaka 10, lazima kuwe na uozo mpaka huko ikulu, JK kwa kweli angeendelea miezi 5 mbele nchi isingekuwa na uhuru hata kidogo lazima angeibinafsisha jumla.
 
TUKUBALI TUSIKUBALI, UONGOZI NI DHAMANA, NA SI KILA MTU ANWEZA KUONGOZA, KUNA WATU KUONGOZA HAWAWEZI KABISA, HAWA NDO JAMII YA AKINA JK, NA HII WATANZANIA MUITUMIE KAMA CASE STUDY KWA MAISHA YENU YA BAADAE.

Nimekuelewa saana,hasa kijimstari cha mwisho.
 
Mzee wa Msoga chaliiiiiiiiiiiiiiii!! Ndo maana alikuwa anapigania ndugu yake aingie ikulu ili afiche udhaifu wa dhaifu. Akajichanganya zaidi alipoamua kumkata rafiki yake, pengine naye angemfichia huu uozo! Sasa li-ngosha wacha limvue nguo mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom