- Rais Magufuli asema watumishi hewa wamejaa mpaka Ikulu, Ofisi ya Waziri mkuu, Majeshini etc.
- Amuagiza Katibu mkuu kiongozi kuunda "task force" yenye ulinzi maalumu ku-deal na watumishi hewa.
- 10% ya mishahara yote nchini hulipwa kwa watumishi hewa.
- Serikali yapoteza Tshs Billioni 54 kwa mwezi, sawa na zaidi ya Billioni 648 kwa mwaka kulipa mishahara ya watumishi hewa.
![]()
PRESIDENT John Magufuli yesterday exposed the presence of 'ghost workers' in his own office, saying an ongoing nationwide search for fake civil servants has revealed that the problem of payroll fraud is prevalent in virtually every public office in the land.
"They (ghost workers) are everywhere ... even in the President's Office, the Prime Minister's Office, the armed forces ... everywhere," Magufuli said yesterday in a State House address.
"Some 4,236 ghost workers have been identified in local government authorities. There are also more than 1,000 such workers at the central government level," he stated.
He noted that while the government spends 583 billion/- each month to pay civil service salaries, an estimated 54 billion/- of that amount is apparently being pinched in the name of phantom workers.
"There are ghost workers in the health ministry, the ministry of finance, everywhere. Every government ministry has ghost workers."
He ordered the State House Chief Secretary, John Kijazi, to ensure that the special task force was provided with enough security and protection to allow them to carry out surprise inspections of government offices as and when directed to do so by the president himself.
Magufuli reiterated his regular caution that the culture of "business as usual" is unacceptable in his administration, further warning that public officials will continue to be taken to task if they fail to do their jobs.
"Tanzanians as a people are suffering while public funds are being squandered. The funds spent in paying ghost workers’ salaries could have been used to finance real development projects," he said.
"I expect all of us who have been entrusted with public leadership positions to take our responsibilities seriously because this country had reached a terrible state," he added.
Source: The Guardian
My take: Hii fedha inayopotea kwa mwaka mmoja tu kulipa watumishi hewa inatosha kabisa kuchonga madawati 6,000,000 tukafuta kabisa tatizo la watoto kukaa chini maana mahitaji ya madawati kwa Tanzania ni Milioni 3.5 kwa shule za msingi na Milioni 2.7 kwa shule zetu za Secondary
Tusipoangalia atanbakisha na boxer tuJPM anaendelea kuwavua nguo tu watangulizi wake.......hasa huyu aliyemuachia kijiti.
Aisee kumbe nchi ilikuwa imezama, kila siku tunalia mishahara haitoshi kumbe wakiongeza tu inajaza matumbo ya watu

Kwa namna alivyokuwa anatawala hata kama angepewa miaka mingine 30 asingejua KABISAHalafu Jk Alikuwa hajui kwa nini Tanzania ni maskini.!
Umenichekesha sana....huyo mtumishi unayetaka afutwe kazi na anyang'anye vyeti, ni yupi sasa? wakati umeshaambiwa ni hewa! Ukiambiwa mtumishi hewa, ujue hakuna mtu ni jina tu ndo lipo"Hamna ya kunyongwa hawa watu. 1. Wafutwe kazi na anyang'anywe vyeti vyake vyote na kutangazwa
2. Afilisiwe na asiruhusiwe kuwa mwajiriwa sehemu yeyote. Nchi mbona itanyoka
Hakutumia weledi kama kiongozi kutoa majibu mepesi bila kufanya tafakuri ya kina hicho ndio kimemponza.Duh...yaani Anne Kilango hakua na hata aibu kweli mkoa mzima ukose watumishi hewa wakati hata ikulu wapo?
Alikuwa bize nchi za nje akasahau shida zetu.Halafu Jk Alikuwa hajui kwa nini Tanzania ni maskini.!
Hii nchi ilielekea kubaya sana
Basi! Mungu ashukriwe kwa kuchagulia Rais Magufuli, nadhani sasa mishahara ya watumishi wa hali ya chini itapanda kwakuwa fedha inayookolewa itafidia kupandishia mishahara watumishi walio chini na bado serikali ikaweza kuendeleza huduma bora
Hiki ni kiama cha mafisadi Tz.
aaah wala hafi mzee muhuni muhuni ana mishe kibao... anajua jinsi ya kucheza na akili za wadanganykaNaona mnataka kumuuwa mkwere kwa pressure
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, ndio maana hapendi kukaa sana bongoaaah wala hafi mzee muhuni muhuni ana mishe kibao... anajua jinsi ya kucheza na akili za wadanganyka