PRINCEHOPE
Member
- Aug 28, 2013
- 92
- 67
Mkoa wa Iringa wawa shamba la bibi watumishi hewa waongezeka kutoka watumishi 27 hewa walioripotiwa kwa Rais Dr John Magufuli hadi kufikia watumishi 169 ambao wametafuna mishahara hewa Tsh milioni 364,028,910.80 wakiwemo watumishi ambao marehemu waliolipwa Tsh milioni 53 .
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambao awali katika taarifa aliyopelekewa Rais ilionesha hakuna mtumishi hewa katika halmashauri hiyo ya Manispaa ya Iringa leo wamefumwa watumishi hewa 67 waliotafuna pesaza umma jumla ya Tsh milioni 226,665,510.50