A
Duuuuu kwani wasipoenda watawapiga vibokoKumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe 26/4/2024.
Agizo linawataka watumishi hao kufika maeneo hayo kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe 25/4/2024 na kukesha kuamkia siku ya Muungano tarehe 26/4/2024 bila kujua suala la usafiri na huduma zingine za kibinadamu n.k.
Wahanga wakubwa ni Walimu wanaotokea kata Za Jirani na Kamsamba, Wakuu wa shule wote na Maafisa Elimu Kata wote kwa Halmashauri nzima.
Je, hii ni sawa?
Kwanini mamlaka ziwalazimishe watumishi kusherehekea Muungano?
Sheria ipi inalazimisha mtu kusherehekea Muungano huu?
View attachment 2974132
Hii sio sawa, ni ukandamizaji mkubwa wa haki za watuKumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe 26/4/2024.
Agizo linawataka watumishi hao kufika maeneo hayo kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe 25/4/2024 na kukesha kuamkia siku ya Muungano tarehe 26/4/2024 bila kujua suala la usafiri na huduma zingine za kibinadamu n.k.
Wahanga wakubwa ni Walimu wanaotokea kata Za Jirani na Kamsamba, Wakuu wa shule wote na Maafisa Elimu Kata wote kwa Halmashauri nzima.
Je, hii ni sawa?
Kwanini mamlaka ziwalazimishe watumishi kusherehekea Muungano?
Sheria ipi inalazimisha mtu kusherehekea Muungano huu?
View attachment 2974132
Tatizo kubwa pia CWT kugeuka kuwa wakala wa serikali maana hapa kama chama cha wafanyakazi kilitakiwa kitoe tamko kuzuia huu unyanyasaji unaendelea kuota mizizi maana kuanzia mbio za mwenge ni walimu na tunako elekea nahisi hadi ziara za chama wataitwa walimu waendeHii sio sawa, ni ukandamizaji mkubwa wa haki za watu
Na hilo ndilo tatizo kubwa la walimuKwani msipoenda wote watawafanya nini? Tatizo lenu hamna Umoja.
Mwenye kujua faida za muungano ni sir-100Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe 26/4/2024.
Agizo linawataka watumishi hao kufika maeneo hayo kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe 25/4/2024 na kukesha kuamkia siku ya Muungano tarehe 26/4/2024 bila kujua suala la usafiri na huduma zingine za kibinadamu n.k.
Wahanga wakubwa ni Walimu wanaotokea kata Za Jirani na Kamsamba, Wakuu wa shule wote na Maafisa Elimu Kata wote kwa Halmashauri nzima.
Je, hii ni sawa?
Kwanini mamlaka ziwalazimishe watumishi kusherehekea Muungano?
Sheria ipi inalazimisha mtu kusherehekea Muungano huu?
View attachment 2974132
Hata pasipokua na umoja ,ukijiamini kisheria hakuna atakaye kusumbua kabisa!!Na hilo ndilo tatizo kubwa la walimu
Sasa mkuu ulikubalije kufundishwa na watu wajinga wajingaMtajua wenyewe na maujinga yenu.
Hii kada imejaa watu wajinga wajinga tu.
Nilikuwa sina mamlaka kuzuia hiloSasa mkuu ulikubalije kufundishwa na watu wajinga wajinga
Kwa hiyo wewe ni sawa na yule ambaye akisha zaliwa na mama yake kisha akalelewa akawa mtu mzima anaanza kumwambia mama yake hata mimi nina uwezo kukuzaa si dio?Nilikuwa sina mamlaka kuzuia hilo
Kama ni mwanamke yupo sahihi kama huo uwezo anao.Kwa hiyo wewe ni sawa na yule ambaye akisha zaliwa na mama yake kisha akalelewa akawa mtu mzima anaanza kumwambia mama yake hata mimi nina uwezo kukuzaa si dio?