Mimi siyo Chief Mkwawa wala Reuben Challe ila hiyo ni Satellite dish ni connection ya internet kutoka kwenye Satellite moja kwa moja unalipia kwenye makampuni ya satellite ambayo yanakua regulated na TCRA, internet yake ni ya uhakika ila ina gharama sana makampuni yanatoza kati ya $50-$200 kwa mwezi
Haionekani vizuri ila inaweza kuwa antenna ya WiFi, kama hivi
Mkuu Ahsante sana kwa ufafanuzi. Nimeona zipo kwenye baadhi ya majengo, nyumba za watu binafsi nkMimi siyo Chief Mkwawa wala Reuben Challe ila hiyo ni Satellite dish ni connection ya internet kutoka kwenye Satellite moja kwa moja unalipia kwenye makampuni ya satellite ambayo yanakua regulated na TCRA, internet yake ni ya uhakika ila ina gharama sana makampuni yanatoza kati ya $50-$200 kwa mwezi
NB: Mimi siyo Chief-Mkwawa wala Ruben Challe Mwl. RCT
Kwa hiyo ni kama vile kusema kuwa hao waliozifunga, wanawezs sambaza intaneti kwa watu wengine?Haionekani vizuri ila inaweza kuwa antenna ya WiFi, kama hivi
View attachment 3544815
Huwa WiFi zinasafiri kwa mstari ulionyooka, kukiwa hakuna kizuizi inaenda mbali, so wanaziweka juu kama kwenye nyumba ili ifikie watu mbali, same concept kama mnara wa simu.
hiyo ni p2p wireless bridge, possibly ikawa dish ya airfiber maana inapokea mawimbi toka uelekeo mmoja (directional), inawekwa juu kabisa ipate line of sight na access point (ya fiber) iliyosimikwa barabarani huko
Hapana hizi vijana wa Ofisi ya Rais wanazo sana makwao ila watu wa kawaida pia wanazoKwa hiyo ni kama vile kusema kuwa hao waliozifunga, wanawezs sambaza intaneti kwa watu wengine?
Nimeziona sehemu kadhaa hapa mjini. Nikajiuliza ndio nini hizo. Naona Troll JF ameeleza kwa kina, amesema hata bei za package zake zimesimama.hiyo ni p2p wireless bridge, possibly ikawa dish ya airfiber maana inapokea mawimbi toka uelekeo mmoja (directional), inawekwa juu kabisa ipate line of sight na access point (ya fiber) iliyosimikwa barabarani huko
Hiyo ni Point to point. Mara nyingi mitandao ya simu wanakupa p2p direct kutoka kwenye mnara. Lazima uwe na line of sight.
Kwa hiyo ni kama vile kusema kuwa hao waliozifunga, wanawezs sambaza intaneti kwa watu wengine?