secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,671
- 47,391
Mkuu mi natumia smart kitochi ya Nokia.Wamefanyaje akina secretarybird watumiaji wa iPhone
Mkuu mi natumia smart kitochi ya Nokia.Wamefanyaje akina secretarybird watumiaji wa iPhone
Mimi nipo na Samsung ila hao Iphone wana simu nzuri na Laptop zao ni mashine...ukiweza kuwaponda hao utataja kampuni ipi mazee yenye simu bora.Sio simu bora
PUNGUZA WIVU NA UJUAJI WA KIPUUZIAcha ushamba
Kalombwe hukoPUNGUZA WIVU NA UJUAJI WA KIPUUZI
SIO KILA MMOJA ANATAKIWA KUTUMIA IPHONE , WEWE SAIZI YAKO NI ITEL
Acha ushamba
Wewe hujawahi kutumia?iphone zimekaa kidemu sana.
Mashangigi yanapenda sana iphone, macho matatu yanaashiria huduma ya mix by yas.
Simu hovyo sana zile. Hazina heshima.
Every tom and jerry can have it just for the show. Jinga kabisa!!
Cc: Mbaga Jr secretarybird dronedrake Kalpana Lucas Mwashambwa
Daddy njoo inbox unitukaneKalombwe huko
Akhuuu!Wewe hujawahi kutumia?
Sema!Akhuuu!
Nipigie video call babyDaddy njoo inbox unitukane
bae unachepuka siyo ?Daddy njoo inbox unitukane
Bwashee piga jaga saizi ya kati najoin bill niachieiphone zimekaa kidemu sana.
Mashangigi yanapenda sana iphone, macho matatu yanaashiria huduma ya mix by yas.
Simu hovyo sana zile. Hazina heshima.
Every tom and jerry can have it just for the show. Jinga kabisa!!
Cc: Mbaga Jr secretarybird dronedrake Kalpana Lucas Mwashambwa
nisamehe mme wangu.bae unachepuka siyo ?
mme wako anakuvumilia sio kwa hilo komwenisamehe mme wangu.