wanasema hivyo kwasababu IE ni rahisi kutumia?
Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.
Kabla ya hii study, nilichokuwa najaua ni kuwa kama unatumia Internet Explorer hata kama ni latest version, you're likely to encounter malwares, trojans, na hata vurus kulinganisha na browsers nyingine. Sababu ni kwamba, tofauti na browsers nyingine, Internet Explorer inakuwa more targeted zaidi kwa kuwa bado inatumiwa na watu wengi na wengi wa hao watu hawafanyi regular updates.
Lakini si bado unapata
Information unayotaka.
Google si ile ile kwenye
Internet explore, sijui safari na hiyo
Opera...
Au ni sisi tunapenda kujibuguza na
Kujifanya tunajua sana ...
IQ ya kati kama unatumia Firefox, safari
IQ kubwa opera, internet explore chini..
Kazi kweli kweli.....
inaonekana unatumia internet explorer ww.
na we kinachokuuma ni nini ???
kwa information yako ninazo nne...
afrodenzi linux 2.04 OS, malizia na nyingine.
khaaaa
kumbe wazijua ...
utaonekana mjinga
nikikwambia ujuacho ...
hizo ninazozifahamu kutoka kwako ila leo nimefahamu pia unatumia EI.
EMT ,haya mambo user wa kawaida kuyafahamu sio rahisi.Wengi wanaojua wana idea na mambo ya IT especialy ukizingatia Computer ziliingia Tanzania na OS ilikuwa ya Microsoft (Windows)Hapana. Nafikiri walengwa ni wale ambao bado wanatumia internet Explorer 6 ambayo ni "notoriously buggy and incompatible with pretty much everything except malware." Imagine Internet explorer sasa ipo version ya 9 lakini bado wapo wanatumia version ya 6 na wanaona is perfectly fine. Kiutaalamu wanasema watu wenye IQ ndogo hawapendi mabadiliko. Kwa hiyo utafiti umejaribu ku extend hii hypothesis kwenye software japokuwa wamesema utafiti zaidi unatakiwa.