Watumiaji wa FNB Visa card kuna issue wiki hii?

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,699
Reaction score
2,610
Msaada jamani, kwa wale wenye Visa card ya FNB mmepata tatizo lolote kutumia kadi hizo kwenye ATM siku hizi mbili tatu zilizopita? Maana nimeshindwa kutoa hela na nipo safarini.
 
[emoji23][emoji23]kwanza ATM zao hazinaga hela
 
Back
Top Bottom