Watumia vileo tukutane hapa

Asante mkuu. Kuna wenye wako against pombe wamevamia! Mbona nyuzi nyingi tuu si musome hizo.
 
Hivi castle light wameweka nini mule......kidude kitamu kile jamani........ukipaulia na ka balentine ka kucheulia.......
Mwambie waitress akuleetee mbili za baridi napita kulipa apo
 
Mwambie waitress akuleetee mbili za baridi napita kulipa apo

Naona lebo ishakua ya blue pale kwenye friji......inanielekeza kuwa temperecha ipo sawa.....wacha nimeze......
 
Achana na mambo ya pombe,dushe kwako ndio kila kitu.
 
Natumia imperial blue kila nachanganya na tonic pombe Kali dry siwezi
 
Mimi sio mtumiaji wa hivi vitu kwa sasa ,nimepita tu kutoa salamu
 
Mi sijui nimelogwa maana hakuna kinywaji sijawahi kunywa labda hizi za kienyeji maana mpaka najiogopa
 
Whiskey gani ambayo haina harufu kali na yenye bei reasonable?
 
natamanigi kunywa pombe sana ila sijui nililogwa huwa haipiti kabisa mdomoni
sijui nikaombewe wapi

Nitafute kwa mwezi mara mbili tu nikufundishe kunywa pombe.

Hutajutia
 
Kumbe unakunywa koti.......hiyo haina kupaua........
Wacha niite muhudumu........
Na tonic au ice tu.......?....


Raha ya pombe kali ni kupiga dry Bibie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…