Watumia vileo tukutane hapa

Pole sana....Unakosa uhondo...

Jaribu Kilimanjaro Twist...Inaladha ya lemon na 2% alcohol..
 
Kama hujawahiii tumia kilevii shukuruu kwa ilooo na pia muombe Mungu ucjarbu kuingiaa. Me natumia nkiwa napesaa nagonga castle lager zangu mbili tatuu natulia ndan kama cko poa nataka VODA chap chap nachukua valuer brand chupa moja nkiwa nmeshiba Sana nachukua hata viwili au vitatu. Natumia kwa kiwangoo ili nicje koroga shughulii. Ctumii kilev ambacho cjawhii walaa cjakizoea maana kuna vilevii unaezajikuta unaongea upside down
 
ni ugonjwa sio bure nimelogwa
Hakuna ugonjwa wala nini. Labda tu alichelewa kuanza kuonja ila ungewahi mapema [emoji6][emoji6] ungekuwa unazipiga mno.... duuu sasa kwa sababu unaanza jaribu zile reds,relbul,castlelite mdogo mdogo..
 
nishukuru kwa lipi mbona wewe unatumia? unataka ufaidi mwenyewe mkuu?
 
Hakuna ugonjwa wala nini. Labda tu alichelewa kuanza kuonja ila ungewahi mapema [emoji6][emoji6] ungekuwa unazipiga mno.... duuu sasa kwa sababu unaanza jaribu zile reds,relbul,castlelite mdogo mdogo..
nimejaribu kitambo sana bna
 
Pombe nilishaachaga kitambo sana kiniwa shule baada ya kulewa na kumiminia konyagi chupa kumi kubwa kwenye sufuri la uji wa shule shule nzima wakalewa! nikajadakwa nikaswekwa ndani hadi leo pombe siitaki labla unipe wine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…