Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Kundi la watu 11 wanaosadikiwa kupanga na kutekeleza maujai ya Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rungwe na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Ndg. John Mwankenja wamekamatwa.
Kwa mujibu wa habari za Radio One mchana wa leo , bunduki , risasi 30 zlizosalia, face mask na kofia iliyotumika katika mauaji hayo vile vile vimepatikana.
Katika kundi hili inaaminika wamo wanasiasa waliopanga mauaji hayo na majambazi waliotekeleza.
Kuna jina la muuaji linalojitokeza kutoka Kiwira lakini linahifadhiwa mpaka litakapotolewa rasmi na Polisi.
Mimi binafsi nawapongeza Polisi na Idara zote za Usalama kwa kuitikia kilio kile cha pale kanisani Kiwira Moravian Church, kilio kilichokuwa na simanzi kubwa, kwa wote waliokuwepo.
Pamoja na mafanikio ya Polisi Mkoani Mbeya Wananchi vile vile walijitolea sana katika kupatikana kwa wauaji hawa-moja ya mafanikio ya Polisi Jamii.
Mkuu sina uhakika na hili lakini wengi pale msibani waliwalaumu sana wanasiasa uchwara pale Kiwira kwa kupanga mauaji haya.Sababu zilizojitokeza sina uhakika vile vile, lakini wivu wa kupindukia kwa Nd.John Mwankenja ambaye alikuwa akipendwa sana na wananchi,imeonekana kuwa sababu kubwa ya kuchochea wivu huo.Inasemekana marehemu alikuwa ameweka maslahi ya taifa mbele juu ya Mashamba ya chai na mwekezaji wa kihindi.Wenye taarifa kamili watupe
Kundi la watu 11 wanaosadikiwa kupanga na kutekeleza maujai ya Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rungwe na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Ndg. John Mwankenja wamekamatwa.
Kwa mujibu wa habari za Radio One mchana wa leo , bunduki , risasi 30 zlizosalia, face mask na kofia iliyotumika katika mauaji hayo vile vile vimepatikana.
Katika kundi hili inaaminika wamo wanasiasa waliopanga mauaji hayo na majambazi waliotekeleza.
Kuna jina la muuaji linalojitokeza kutoka Kiwira lakini linahifadhiwa mpaka litakapotolewa rasmi na Polisi.
Mimi binafsi nawapongeza Polisi na Idara zote za Usalama kwa kuitikia kilio kile cha pale kanisani Kiwira Moravian Church, kilio kilichokuwa na simanzi kubwa, kwa wote waliokuwepo.
Pamoja na mafanikio ya Polisi Mkoani Mbeya Wananchi vile vile walijitolea sana katika kupatikana kwa wauaji hawa-moja ya mafanikio ya Polisi Jamii.
Ni kweli kabisa mkuu, huyu jamaa alikuwa mtu wa watu na hizo habari zilikuwepo pale msibani, kuwa alikuwa akijitolea sana kwa masuala ya watu wake wilayani.Mimi nilivyo sikia alikuwa anafuatilia kesi ya albino aliye uwawa,na alikuwa na ushahidi mzuri.
Lets wait and see.
UPUUZ MTUPU!!!! MwanaCCM mmoja kuuwawa Rais alikimbilia wakamatwe haraka!! vip wale mamia waliouwawa Tarime miaka yote hiyo, na wa Arusha JE?? au sababi sio wanaCCM,wanakuwa sio binadamu!! Polis na ****** walikuwa wapi?? SHIT!!!!!
SIPONGEZI HUUU NI UPUUZI NA UNAFIKI MKUBWA!!!
Demokrasia ni nzuri sana maana ina upande wa pili wenye hoja nzito tu!Wawapeleke kwenye vyombo vya sheria maana hukawii kusikia wamewaua kwa majibizano ya risasi kana kwamba polisi ana ruhusa ya kuua raia
We all wish ingekuwa hivyo kwa huyu mwezetu J Mwankenja, na wengine wengi wanaopoteza maisha katika hali kama hii.Vipi polisi jamii? Inafunction baada ya mauaji? Intelijensia iko wapi?
Mkuu dont panic nchi inaendeshwa kwa ushirikiano na serikali , na kukamatwa kwa watuhumiwa ni baada ya serikali kutoa wito wa kuomba habari zozote zinazohusiana na tukio hili kutoka kwa wananchi.
Wananchi waliitikia , tena kwa wingi sana.
Vinginevyo ukitaka kupambana na Polisi basi hapo mi sipo!
Kwa taarifa yako kati ya wanao tuhumiwa katika mauaji ya J Mwankenja ni wanaCCM wa eneo lake.
Cool down and think positively even in the worst of scenarios.