WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira wahukumiwa kifo!



Hawa wanajeshi wakikata rufaa lazima watatoka, huwezi kumtia hatiani mtu ktk mashtaka mazito kama haya kwa ushahidi wa mazingira......pia ikumbukwe kuwa Jaji Zainabu Muruke ni kati ya wale majaji Yeboyebo wa Tundu Lissu, Angalia kesi ya kuua alivyoiweka record mpya ya kesi za kuua ndani ya miaka miwili kaimaliza na kutoa hukumu
 
Mini nadhani kazi ya uzee wa baraza wapewe majaji na mahakimu wastaafu, na waendelee kulipwa mishahara. Na nadhani sasa ifikie wakati mfumo wetu wa kimahama utumie jury (kama katika nchi kama marekani), na sio hakimu mmoja (judge),kutoa maamuzi ya kesi ngumu kama za mauaji.
 
HUYU SWTU FUNDIKIRA ni MZANZIBARI au MTOTO wa Marehemu CHIEF FUNDIKIRA?

MUNGU IBARIKI ZANZIBAR MUNGU IBARIKI SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR.AMIN.

Swetu Fundikira siyo Mzanzibari ni Mnyamwezi wa Sikonge,wa Ukoo wa Chief Fundikira.
 
Taasisi ya Clearing And Forwarding ilimpoteza kijana mchapa kazi,Charming Swetu.
 
Wazee wa baraza (Waislamu) walikuwa wanawatetea wakristo dhidi ya mwislamu aliyeuawawa Sweta Fundikra.

Wakristo wakiwasema wazee hao katika hoja hii udini wao uko wapi?

Wazee walikuwa upande wa wakristo waliohukumiwa wakitaka wasihukumiwe.
KAZIMOTO,

..siyo kila jambo muingize habari za UDINI.

..kwa kuangalia majina, pamoja na mavazi, washtakiwa wawili ni Waislamu, na mmoja ni Mkristo.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nadhani umewahii mno kutoa hitimisho.(lazima watatoka!)

Pili hukumu yake kuunganisha na madai ya Lisu ni mapema mno labda kama utanishawishi na Mwenendo wa Kesi yenyewe mpaka hatua ya hukumu.

Tatu miaka miwili ni mingi sana labda kama kuna kanuni ya mahakama kuhusu muda wa kesi za mauaji tuwekee


Yote kwa yote Rufaa si iko wazi!
 


Inawapa fursa ya kujirekebisha baada ya kutumikia hukumu yao? Na Hukumu ikishatekelezwa na baadae ikabaanika kuwa imetolewa ki makosa kwamba hawakustahili adhabu hiyo,tunaweza kuwapata tena? je,haki itakuwa haki? TUJIULIZE HALAFU TUJIJIBU WENYEWE!!
 
Inawapa fursa ya kujirekebisha baada ya kutumikia hukumu yao? Na Hukumu ikishatekelezwa na baadae ikabaanika kuwa imetolewa ki makosa kwamba hawakustahili adhabu hiyo,tunaweza kuwapata tena? je,haki itakuwa haki? TUJIULIZE HALAFU TUJIJIBU WENYEWE!!
sajenti Roda Robert,amefariki dunia,akiwa gerezani akisubili kunyongwa,inasemekana amekufa kwa natural causes
 
Wata
Hi kuna aliye na wasifu wa Swetu Fundikira? Niliwahi cheza mpira na Swetu Fundikira huko Tabora miaka ya 80, akiwa anasoma Kazima kama sikosei, na sijui kama huyu ndiye huyo niliyemfahamu. Naona wanafanana.
Kujibu nitag
 
Mbona hawana wasiwasi
 
Hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…