Watu. . .

lizzy hii issue imenichekesha maana nimekumbuka tukio la mama mmoja stend kuwashushua waliokuwa wanamwambia amnyonyeshe mtoto wale aliyekuwa analia, sio siri mi pia huwa naboreka sana mtu kunielekeza kuhusu mtoto wangu
Hahahaha. . .Natamani ningemuona huyo mama akiwakata hao watu ulimi.

Inaboa sana mtu kujifanya anajua kitu asichokijua.
 
Juzi kwenye daladala madingi walimkomalia mdada anyonyeshe mtoto aliyekuwa analia...
 
Juzi kwenye daladala madingi walimkomalia mdada anyonyeshe mtoto aliyekuwa analia...

Hahaha! Umenikumbusha kny daladala pia kuna mzee aliambiwa ampe mtoto nyonyo wakati mtoto analia alafu yeye Dume
 
Hahaha! Umenikumbusha kny daladala pia kuna mzee aliambiwa ampe mtoto nyonyo wakati mtoto analia alafu yeye Dume
Nadhani hata yule jamaa aliyepatwa na shutuma ya kumpa mtoto dudu kila akilia itakuwa naye alikuwa akiambiwa amyonyeshe akilia
 
Hahahaha. . .Natamani ningemuona huyo mama akiwakata hao watu ulimi.

Inaboa sana mtu kujifanya anajua kitu asichokijua.

lizzy hongera..................................!
kumbe una mtoto tayari...............................!
Sidhani kama kuna ubaya watu wakijaribu kutoa mawazo ambayo wanadhani yanasaidia................................!maana wakati mwingine mtoto analia hadi mama yake anachanganyikiwa hajui afanyaje............................!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom