Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,148
- 12,615
Huyo kavurugwa na maisha na kujifanya yuko serious na maisha sasa kajikuta mambo sivyo kaja hapa kutema nyongo zake hajui hii dunia uwanja wa fujoTafuta pesa umaskin wako ndy unakufanya ufikiria hvyo
Ukweli gani yaani shida zake ndiyo atuhalalishie sisiKuna ka ukweli hapa
Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utaf
Kweli aisee! Mazuzu ndio wana enjoy nchi hii!Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utafiti
Zingatia maneno "hawana akili timamu" wangelikuwa na akili timamu na hakika wasingelikuwa na hiyo furaha unayo izungumzia.Furaha haiko kwenye mali wala pesa furaha iko ndani yako ni kuswitch tu hyo button
NB:Nenda vijijini huko uone watu wanavyoishi kwa furaha mtu hawazi kesho yeye anaiishi which is true purpose of life live today you never know what tomorrow holds
Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utafiti
View attachment 2843564Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utafiti
Sana tuko tunatakiwa kuwa na huzuni
Furaha haiko kwenye mali wala pesa furaha iko ndani yako ni kuswitch tu hyo button
NB:Nenda vijijini huko uone watu wanavyoishi kwa furaha mtu hawazi kesho yeye anaiishi which is true purpose of life live today you never know what tomorrow holds
Pascal Mayalla na huyu braza wangu yeye furaha tele kwakeWatu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utafiti
Kichwa cha uzi kimenyooka.Pascal Mayalla na huyu braza wangu yeye furaha tele kwake
Huko lumumba nako ni shangwe kila sasa, furaha amani teleee...
Mkuu uko serious na kichwa chako cha Habari